Rais Magufuli ahutubia kwenye Mashindano ya kuhifadhi Qur'an uwanja wa taifa DSM 19 May 2019

Wakati waislam mkipewa majengo ya serikali, Wakristo wanaipa serikali majengo!
Shule na ofisi nyingi za serikali yalikuwa majengo ya kanisa kabla/baada ya uhuru.
Yalikuwa ......
Kaangalie majengo ya posta kisha fuatilia historia ya wamiliki.Hilo kanisa la st joseph lilikuwa msikiyi unajua hilo??
Pia wakrisyo wamerejeshewa majengo mengi ikiwepo shule ya forodhan lakin kwa waislam hakuna hilo.
 
Jamani mnaonena mabaya juu ya uislamu acheni. Mm naona kuwa wazuri. Tunaishi nao mbona hatuoni wakijilipua ? Tena fedha za kujinge chuo zinatoka kwenye nchi ya kiislamu mnawashwa na nini ?
 
Aache kuwabagua waislamu kwenye teuzi zake la sivyo atafanya mambo yake yatakuwa hayaendi, atakuwa hafanikishi mipango yake.
Dua za Waislamu ni nzito, zinatisha!
Mbona akina Jaffo, Majaliwa, Kijaji na wengine wengi tu ni waislamu, kinachaangaliwa ni uwezo tu, angekuwa mbaguzi asingemwomba mfalme wa Morrocco kujenga makao makuu ya Bakwata
 
Hajaongela Standard gauge kweli? Vipi hajagusia Elimu bure kua serikali yake inatoa 23.7B kila Mwezi? Vipi hajasema kuhusu Serikali yake imetenga takribani 200B kwaajili ya madawa na vipi hajaongelea kuhusu bwawa la umeme litakalo zalisha umeme zaidi ya Megawatts 2000....Napita tu maana hachelewi kuharibu shughuri za watu kwa Hotuba zake za Marudio Mara ya Mwisho nilimchungulia kidogo MeiMosi alivoanza SGR tena eti tunajenga kwa fedha zetu nikajiuliza mbona deni LA Taifa linazidi kupaa nikazima kisimbusi changu tokea siku hiyo sijawahi mtizama tena...
 
Mbona akina Jaffo, Majaliwa, Kijaji na wengine wengi tu ni waislamu, kinachaangaliwa ni uwezo tu, angekuwa mbaguzi asingemwomba mfalme wa Morrocco kujenga makao makuu ya Bakwata

sasa wewe unahesabu hao wa kumulika kwa tochi kisha unasema "mbona yuko huyu na yule?"
Proportionally Waislamu wako wachache sana kwenye teuzi za JPM,binafsi sielewi alikuwa akisukumwa na nini haswa kufanya teuzi zenye mrengo wa udini namna ile!
 
Nimekaa nikafikiri ikabidi nije na mpango wa kuwahifazisha watoto wa kikiristu biblia nzima , then mpango wa mashindano ya kuhifadhi kitabu hicho utaanza baadae ili wasibaki kukishika tu mikononi wakati wa kwenda kanisani.


Nipo tayari kwa masahihisho
Umewaza jambo zuri sana, kwani Wakristo walio hawasomi Biblia,.. Mchungaji ndio anakuwa msomaji.. inafika wakati Hawa Wachungaji huwa wanawadanganya Waumini wao,kwa jina Yusu Mchungaji anaweza hata kuwanywisha Wafuasi wake Jick kwa kuwapngopea Jick inatoa Mapepo!! 🤣🤣
 
MGENI RASMI NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

WENGINE NI MARAIS WASTAAFU, MWINYI NA KIKWETE.
WAZIRI MKUU NAYE YUPO

======

Mhe. Rais Magufuli atahutubia katika Uwanja Mkubwa wa Taifa Jijini Dar es Salaam muda mfupi ujao. Ni Mgeni Rasmi katika Mashindano Maalum ya 20 ya Qur'aan Tukufu Afrika. Fuatilia Redio, Televisheni na Mitandao.

View attachment 1102093
View attachment 1101980View attachment 1101982View attachment 1101985
View attachment 1101989


Safi sana ameonyesha kuwa yeye ni Rais wa wote
 
Ikitokea Ukalawitiwa na Said inakuwa
umelawitiwa na Uislam?
Kishki akimsifia Mtu inakuaje useme
Uislam umemsifia fulani?
Umeamua kuleta hoja za matusi Mimi sio mkiristo Mimi ni muislamu halisi sasa unahisi Mimi ni kafiri sio basi sina cha kukujibu mola akuongoze uache tabia za kIKAFIRI.
 
Back
Top Bottom