Rais Magufuli ahutubia kwenye Mashindano ya kuhifadhi Qur'an uwanja wa taifa DSM 19 May 2019

Mbona Waislam unawafanya kam
a less-human? Kama tabaka lililo jit

enga na jamii nyingine? Wajipendek

eze kwa mapungufu yapi? Au imani yao ndo kosa? Mimi ni mkristo lakini sipe

ndi kuchukuliana utabaka kwa imani
zetu. Ee Mwenyezi Mungu tusamehe kwa dhambi hii ya ubaguzi.
Mimi mwenyewe ni muislam usifikiri Mimi ni kafiri kwa andiko.
 
Kuhifadhi maana yake usome neno moja baada ya lingine na usiruke hata neno.Quran imeandukwa kwa mfumo wa mashairi, kwa hiyo haina maneno mengi, ina jumla ya maneno 6,616 tu. Agano jipya lina jumla ya maneno 30,008 maana yake zinaingia humo Quran tank agano jipya peke yake achilia mbali agano la kale, kuhifadhi Biblia siyo rahisi labda kuijua tu kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Kumbukumbu LA Torati n.k. vinasema nini hilo ni rahisi.
Fikra za kikafiri ndio hizo qur an ndio kitabu pekee duniani kisichowezekana kudukuliwa tofauti na biblia.
Kuhifadhi qur an ni rahisi kama mwenyezimungu atakuwekea wepesi,na ngumu kama hujajaliwa qur an nirahisi kukaa kichwani automatic kama unaisoma kila Mara.
 
Kiama kije tu hizi dini zetu siku hizi! Yani mashindano ya kura'an tukufu na Mabaraza ya IDD wageni rasmi hata kura'an hajui kufaa tu kanzu na kale kadunde kichwani no matter anaitwa Yesu au Eliza waislamu meno 32. Hivi ule msamiati wa kafiri haupo tena!
 
Umebakia wewe tu ndo Kafiri !

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Ati mungu kafanyika mwili ! Hao walioishi nae huyo mungu walimuona mzushi leo wewe ndo umuone mungu !?
Hivi kwa nini Wayahudi hawamfuati Yesu !?

Kwa vizuri uhuburiwe dini. Bado tuko kwenye somo la Mungu huvaa umbo la chochote anapowatokea watu kwa sababu alishamwambia Nabii Musa katika Kutoka 33:20 kuwa mwanadamu hataniona akaishi. Huwezi kumwona Mwenyezi Mungu kwenye uhalisia wake ukaishi lazima avae umbo,alishavaa umbo la mwili akaishi nasi. Jambo moja Qurani inawashuhudia Waislamu mna elimu ndogo ya kiroho. "Wanakuuliza habari za roho, sema,ilimu ya roho hatukupewa ika kidogo kabisa". Hivyo masuala ya kama Yesu ni Mungu kwa nini alichoka, alisikia njaa,alilia,n.k. ni masuala ya watu wenye elimu ndogo ya kiroho.
 
Waxha ujinga bwana wewe ! Mwambie avae umbo la kuku tumchinje basi !
Tafuta wajinga wajinga huko
Kwa vizuri uhuburiwe dini. Bado tuko kwenye somo la Mungu huvaa umbo la chochote anapowatokea watu kwa sababu alishamwambia Nabii Musa katika Kutoka 33:20 kuwa mwanadamu hataniona akaishi. Huwezi kumwona Mwenyezi Mungu kwenye uhalisia wake ukaishi lazima avae umbo,alishavaa umbo la mwili akaishi nasi. Jambo moja Qurani inawashuhudia Waislamu mna elimu ndogo ya kiroho. "Wanakuuliza habari za roho, sema,ilimu ya roho hatukupewa ika kidogo kabisa". Hivyo masuala ya kama Yesu ni Mungu kwa nini alichoka, alisikia njaa,alilia,n.k. ni masuala ya watu wenye elimu ndogo ya kiroho.

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Kama vigezo unapanga wewe ! Wakiristo mna mdhulumu mpaka Mungu kwa kuabudu masanamu, leo mtaona aibu kudhulumu mtu !
Anayeabudu sanamu ni Waislamu, soma Qur.2:158 Safaa na Marwa ni mawe yanafanyiwa ibada ya kusai. Pia mnaonekana kwenye TV kwa maelfu pale Maka mkiabudu jiwe kwa kulizunguka.
 
Kwa vizuri uhuburiwe dini. Bado tuko kwenye somo la Mungu huvaa umbo la chochote anapowatokea watu kwa sababu alishamwambia Nabii Musa katika Kutoka 33:20 kuwa mwanadamu hataniona akaishi. Huwezi kumwona Mwenyezi Mungu kwenye uhalisia wake ukaishi lazima avae umbo,alishavaa umbo la mwili akaishi nasi. Jambo moja Qurani inawashuhudia Waislamu mna elimu ndogo ya kiroho. "Wanakuuliza habari za roho, sema,ilimu ya roho hatukupewa ika kidogo kabisa". Hivyo masuala ya kama Yesu ni Mungu kwa nini alichoka, alisikia njaa,alilia,n.k. ni masuala ya watu wenye elimu ndogo ya kiroho.

Kama Yesu ni Mungu kwa nini mara kibao tunaona anasali kumuomba Mungu? ( Kwa mfano kabla ya kumfufua Lazaro tunaona akimuomba Mungu amuwezeshe, wakati akisakwa na maadui alimuomba Mungu amuepushie kikombe kile), Iweje Mungu Amuombe Mungu mwingine?
 
Kwa sisi wakatoliki mambo ya kuhifadhi juzuu ni kwamba hayaeleweki.

Sikuelewa ni namna gani yule Msenegal ameweza kushinda. Ni kwamba kadri mshindani anavyokosolewa na yule jaji ndivyo anavyopoteza nafasi za kushinda au inakuwaje?.

Vipo vigezo vya kitaalam, kwa wale waislamu mliomo humu jukwaani tafadhali mtujuze sisi wengine ambao tunaitwa wagalatia.
Hili swali ni zuri sana ambalo linahitaji mada yake naona hapa utoto umekuwa mwingi watu wanaliruka.
 
Hata kama ni kweli mtu akifunga anatoa harufu mdomoni, kuitaja harufu hiyo kwa mabezo kuwa ni mbaya (hata kama huipendi) ni kudhalilisha kile kilichomwaminisha kufunga hadi kuwa na harufu hiyo unayoiita mbaya.
Zamani wanawake waliweka kalikiti kichwani na zilinuka, lakini sikuwasikia watu wakiwaambia wananuka kichwa, sababu tu kwamba waliwaheshimu.
Mimi siyo muislamu lakini nadhani harufu hiyo kama ni kweli ipo, waislamu wanajisikia vizuri tu kuwa nayo kwa sababu wanainasibisha na kitu wanachofurahia cha imani yao, na sitashangaa wakisema wanaipenda na nitawaunga mkono, waacheni watu wajinafasi na imani yao.
Si ajabu huyo anayesema kuwa mtu aliyefunga ana harufu mbaya, mwenyewe anakunywa pombe au anavuta sigara. Na harufu zake anaziona zinafaa! Hivi mbona hata hajasema kuhusu harufu za majasho, au kwa vile majasho hata yeye anayo? Roho mbaya haifai. Fuata imani yako, acha na wenzio wafuate imani zao.
KWa hili nakubaliana na wewe 100%
 
Back
Top Bottom