Rais Magufuli ahutubia kwenye Mashindano ya kuhifadhi Qur'an uwanja wa taifa DSM 19 May 2019

na kwanza kuna ubaya gani kumsifia
mtu, ama ni bidaa ama haramu kumsifia mtu
Kusifu kwa ukweli sawa ukiongeza chumvi ni bid'aa na dhambi.
Tunatakiwa kumsifu Allah na mtume wake kwa wingi kuliko hawa watu wa mkono wa kushoto hawatofai hats kidogo.
 
Aisee
Screenshot_20190519-172720.jpeg
 
MGENI RASMI NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

WENGINE NI MARAIS WASTAAFU, MWINYI NA KIKWETE.
WAZIRI MKUU NAYE YUPO

======

Mhe. Rais Magufuli atahutubia katika Uwanja Mkubwa wa Taifa Jijini Dar es Salaam muda mfupi ujao. Ni Mgeni Rasmi katika Mashindano Maalum ya 20 ya Qur'aan Tukufu Afrika. Fuatilia Redio, Televisheni na Mitandao.

View attachment 1102093
View attachment 1101980View attachment 1101982View attachment 1101985
View attachment 1101989

Kishki tangu aanze Biashara naona amewazid mpka masouf wenyewe.
Hakuna mashirikiano ya kiibada baina ya Waislaam na Makufar.
Kishk asporejea pamoja na kuwa anaoufanya ni uzushi lakin kushirikiana na hao watu huyo ameangamia
 
Mzee baba kwan takbir maana yake ni nin mpaka utoke nduki, au vile neno ilo liko katika lugha ya kiarabu 2. ? Lugha isikufanye ukachukia hata lisokua na haja ya wewe kuchukia au kuogopa, hilo ni tamko la kumtukuza Mungu 2

..sidhani kama neno hilo lina madhara.

..lakini Msajili wa vyama vya siasa alitishia kukifuta chama cha ACT Wazalendo baada ya mashabiki wa chama hicho kusikika wakisema neno TAKBIR.
 
Ilo jina lako kwel linakufaa maana ulichopost dah,! Ila usisahau yakua yesu tunamwiita Nabii Issa , sasa unafiki apo sijakusoma mkuu . Pia kuzaliwa muislamu sio kigezo kwamba ndio unaufahamu sana uislamu
Ungekuja vizuri ningekuonyesha unafiki wa yesu. Ila kwa kuwa umekuja kimawenge endelea na zako.
 
Skuizi sinamda kusikiliza...Hotuba enzi za Nyerere,mkapa,kikwete na Mwinyi bana...yanini umskize MTU kilasiku watumishi hewa? kiswahili kizito kingreza kibovu... Tutofautishe MTU kusemasema na MTU kutoa hotuba asee. Tunasubiri hotuba ya Membe hapa...
 
Aache kuwabagua waislamu kwenye teuzi zake la sivyo atafanya mambo yake yatakuwa hayaendi, atakuwa hafanikishi mipango yake.
Dua za Waislamu ni nzito, zinatisha!
Hachagui mtu au kuteua mtu kwa kuangalia DINI na kama ulidhani anafanyaga hivyo Umekosea sana.
 
Asalam Alaykum Mabibi na Mabwana siku ya leo ilikuwa ni siku nzuri sana katika Historia ya Nchi yetu kwa kuwepo tukio kubwa la mashindano ya Quran yaliyojumlisha nchi Takriban 18 Africa nzima.

Kwanza kabisa niwapongeze Taasisi ya AL-HIKMA FOUNDATION ambayo ndiyo iliyokuwa imeandaa Mashindano haya ya Kihistoria yaliyolenga kuwahamasisha vijana wa Kiislam kuhifadhi Kitabu kitukufu cha Quran ili waje kuwa Raia wema ndani ya Jamii yao na Nchi kwa ujumla .

MATUKIO MUHIMU KATIKA MASHINDANO YA LEO.

1 Kupatikana Washindi Watano waliohifadhi Quran Vizuri zaidi kuliko wenziwao na Mshindi wa kwanza ametoka kwenye Nchi ya Senegal amejishindia zawadi ya Mil 20 pamoja na safari ya kwenda Hija.Nafasi ya Pili Nigeria Mil12 ,Tatu Tanzania Visiwani Mil 8.5,Nne Niger Mil 5 na Tano Tanzania Bars Mil 4.

2 Mgeni Rasmi wa Mashindano haya alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tz Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwakweli Mheshimiwa Mda wote alikuwa na bashasha sana na akionyesha kufurahi sana kuwepo kwake katika Mashindano ya Leo

Vilevile Mh. Rais alitumia Nafasi yake kutoa Kiwanja cha Mwembe yanga (Tmk) na kuwapa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwaajili ya ujenzi wa Shule na Mabweni ya wanafunzi wa Al-Hikma.

3 Mh. Rais alimuomba Waziri wa TAMISEMI wa Saudi Arabia kujenga Chuo kikuu cha Waislam hapa Tz na Jambo hili waziri wa Saudi Arabia amerikubali na amelifikisha kwa Mfalme King Salman na kaonyesha dalili ya kukubali kufadhili ujenzi wa Chuo hicho Kikuu.

4 Tukio hili la Kihistoria lilihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali kama Rais wastaafu Mzee Mwinyi, Dkt Kikwete, Makamu wa Rais Mstaafu Gharib Bilal, Waziri Mkuu Qasim Majaliwa, Waziri wa Tamisemi Suleyman Jafo, Humprey Polepole na Paulo Makonda Nk.

5 Niwapongeze Taasisi ya Al-Hikma foundation kwa kutompa Mh RC nafasi ya kuongea chochote zaidi ya kuombwa awapungie mikono Waislam wamuone maana huyu jamaa amekuwa mtu ambaye akipewa Fursa tu ya kuzungumza kwenye hafla na hadhara kubwa maranyingi bwana huyu huchafua hali ya hewa kumbukeni yaliyotokea kwenye Mchango wa Operation tokomeza Zero Kisarawe hafla iliyofanyika Mlimani City, vilevile Kwenye Msiba wa Dkt Mengi hivyo tukio la Leo lilikuwa shwari sana hakuna aliyechafua hali ya hewa.

6 Tukio la Mkanyagano Mkubwa wa Watu hili lilichangiwa na uzembe mkubwa wa Askari wa Getini pale Uwanja wa Taifa. Ndugu zetu Maaskari jitahidi kufanya kazi zenu kwa weledi na ufanisi mkubwa leo pale Taifa kulikuwa na Mkusanyiko mkubwa sana wa watu kiasi kwamba ulitokea mminyano mkubwa wa watu paka ikafikia hatua watu kupoteza fahamu, kuvunjika miguu na mikono kimsingi hali ilikuwa tete binafsi ni nilijaribu kuwachomoa watu wengine nilishindwa yani unamvuta mtu kabanwa na watu wengi unajaribu kumchomoa unashindwa aisee hali ilikuwa tete sana wale walioshuhudia tukio hili wanajua ilikuwaje.

Askari wa Magetini pindi mnapoona Mikusanyiko mikubwa kama huu leo bora zaidi mtumie Mageti Makubwa na milango ya kawaida Kupitisha watu hili litasaidia kuepusha mabalaa kama yaliyotokea leo kwakweli leo mlivurunda sana hamkuweka mfumo mzuri wa watu kupita pale getini .
FB_IMG_1558276926092.jpg
FB_IMG_1558277036811.jpg
IMG_20190519_112725.jpg
 
Asalam Alaykum Mabibi na Mabwana siku ya leo ilikuwa ni siku nzuri sana katika Historia ya Nchi yetu kwa kuwepo tukio kubwa la mashindano ya Quran yaliyojumlisha nchi Takriban 18 Africa nzima.
Kwanza kabisa niwapongeze Taasisi ya AL-HIKMA FOUNDATION ambayo ndiyo iliyokuwa imeandaa Mashindano haya ya Kihistoria yaliyolenga kuwahamasisha vijana wa Kiislam kuhifadhi Kitabu kitukufu cha Quran ili waje kuwa Raia wema ndani ya Jamii yao na Nchi kwa ujumla .
MATUKIO MUHIMU KATIKA MASHINDANO YA LEO.
1 Kupatikana Washindi Watano waliohifadhi Quran Vizuri zaidi kuliko wenziwao na Mshindi wa kwanza ametoka kwenye Nchi ya Senegal amejishindia zawadi ya Mil 20 pamoja na safari ya kwenda Hija.Nafasi ya Pili Nigeria Mil12 ,Tatu Tanzania Visiwani Mil 8.5,Nne Niger Mil 5 na Tano Tanzania Bars Mil 4.
2 Mgeni Rasmi wa Mashindano haya alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tz Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwakweli Mheshimiwa Mda wote alikuwa na bashasha sana na akionyesha kufurahi sana kuwepo kwake katika Mashindano ya Leo
Vilevile Mh. Rais alitumia Nafasi yake kutoa Kiwanja cha Mwembe yanga (Tmk) na kuwapa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwaajili ya ujenzi wa Shule na Mabweni ya wanafunzi wa Al-Hikma.
3 Mh. Rais alimuomba Waziri wa TAMISEMI wa Saudi Arabia kujenga Chuo kikuu cha Waislam hapa Tz na Jambo hili waziri wa Saudi Arabia amerikubali na amelifikisha kwa Mfalme King Salman na kaonyesha dalili ya kukubali kufadhili ujenzi wa Chuo hicho Kikuu.
4 Tukio hili la Kihistoria lilihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali kama Rais wastaafu Mzee Mwinyi, Dkt Kikwete, Makamu wa Rais Mstaafu Gharib Bilal, Waziri Mkuu Qasim Majaliwa, Waziri wa Tamisemi Suleyman Jafo, Humprey Polepole na Paulo Makonda Nk.
5 Niwapongeze Taasisi ya Al-Hikma foundation kwa kutompa Mh RC nafasi ya kuongea chochote zaidi ya kuombwa awapungie mikono Waislam wamuone maana huyu jamaa amekuwa mtu ambaye akipewa Fursa tu ya kuzungumza kwenye hafla na hadhara kubwa maranyingi bwana huyu huchafua hali ya hewa kumbukeni yaliyotokea kwenye Mchango wa Operation tokomeza Zero Kisarawe hafla iliyofanyika Mlimani City, vilevile Kwenye Msiba wa Dkt Mengi hivyo tukio la Leo lilikuwa shwari sana hakuna aliyechafua hali ya hewa.
6 Tukio la Mkanyagano Mkubwa wa Watu hili lilichangiwa na uzembe mkubwa wa Askari wa Getini pale Uwanja wa Taifa. Ndugu zetu Maaskari jitahidi kufanya kazi zenu kwa weledi na ufanisi mkubwa leo pale Taifa kulikuwa na Mkusanyiko mkubwa sana wa watu kiasi kwamba ulitokea mminyano mkubwa wa watu paka ikafikia hatua watu kupoteza fahamu, kuvunjika miguu na mikono kimsingi hali ilikuwa tete binafsi ni nilijaribu kuwachomoa watu wengine nilishindwa yani unamvuta mtu kabanwa na watu wengi unajaribu kumchomoa unashindwa aisee hali ilikuwa tete sana wale walioshuhudia tukio hili wanajua ilikuwaje.
Askari wa Magetini pindi mnapoona Mikusanyiko mikubwa kama huu leo bora zaidi mtumie Mageti Makubwa na milango ya kawaida Kupitisha watu hili litasaidia kuepusha mabalaa kama yaliyotokea leo kwakweli leo mlivurunda sana hamkuweka mfumo mzuri wa watu kupita pale getini .View attachment 1102391View attachment 1102392View attachment 1102394
Viwanja vya mwembe yanga havijatolewa kwa ajili ya ujenzi wa shule na mabweni kiongozi, VIMETOLEWA KWA AJILI ya taasisi ya Al-hikma kujenga kituo cha afya kwa ajili ya Watanzania. Na H.E Magufuli amesema atafatilia
 
Back
Top Bottom