Wana Jamvi, naona mpango aliokuja nao rais Magufuli kuwa Halmashauri zitumie asilimia 60% ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya Halmashauri zao ni Mpango POA sana. Ikiwa ni pamoja na kuwapa vijana na makundi maalum uwezo kwa kuanzisha vikundi vya kujisaidia kiuchumi.
ISIPOKUWA, Hawa MADIWANI wasipodhibitiwa na kuwekewa breaks watafanya mpango mzima wa maendeleo uwe kwenye daftari tu na siyo kwenye UHALISIA.
Kuna tabia ya baadhi ya Madiwani wanao WA BLACKMAIL watumishi na kuwatisha kuwa wasipofuata yale wanayoyataka watapitisha hoja ya kutokuwa na imani na mtumishi HUSIKA ili AONDOLEWE!
Kwa mfano wa VIKUNDI ya vijana ama watu maalumu DIWANI anachagua watu wake akiangalia sehemu ipi walimpigia kura bila anawasajili na kuwaleta kwa Afisa mhusika, na HATAKI AULIZWE maswali,. Na hivyo KULAZIMISHA wapatiwe hela BILA kufuata vigezo.
Vigezo wanavyotumia ni UANACHAMA wa chama chake. Na hivyo kuwaacha nje wale anaodhani HAWAKUMPIGIA KURA.
Naona hiyo itatia DOA wazo zima la rais Magufuli la KUINUA MAISHA ya Watanzania wote bila kujali mihemuko ya kisiasa. Maana hao nao ni Watanzania, hata kama hawakumpigia kura Diwani yeyote! Fedha si ya MADIWANI, bali ni ya Watanzania wote kwenye Halmashauri ili kuuinua maisha yao!
Jingine. Hawa MADIWANI wanaingilia sana hata MIRADI ya maendeleo.
Kwa mfano baada Maafisa husika kutathmni ni barabara ipi inahitaji kutengenezwa ama priority ya maendeleo mahali fulani ni ipi.
Wakiamua kutaka kuitengeneza, baadhi ya Madiwani huwa wana ARMTWIST/ LAZIMISHA afisa husika na kusema "Hataki hiyo barabara itengenezwe maaana hao HAWAKUMPIGIA" KURA.
NA AFISA akijaribu kuwashauri kuwa maendeleo yaende pande zote, basi wao HUMTISHIA.
Sasa sijui sasa lengo la rais litatimizwaje kama MADIWANI watakuwa IMPEDIMENTKIZUIZI KIKUU cha kuyaleta maendeleo MASHINANI?. Ni lazima wadhibitiwe kwamba mtumishi wa serikali ana MAMLAKA ya kutoa uamzi kwa KUSHIRIKIANA na Madiwani. Na si Diwani aliye na mamlaka!
Ushauri wangu ni kuwa Maafisa USTAWI wa JAMII, WAHUSISHWE katika mambo yanayohusu maendeleo ya jamii kama Vijana Kina mama, Walemavu, na makundi maalum kama maono ya rais Magufuli yalivyo.
Na wapewe mamlaka ya KU VETO ama KUKATAA mahali MADIWANI wanatumia nguvu KINYUME cha utaratibu wa serikali ili Maendeleo ya nchi yetu yaweze KUTIMIZWA pasipo kuingiza SIASA katika mambo ya Maendeleo!!