Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

ujue magufuli anatuona watanzania mapunguwani sana. kwake yeye wale wanaofanya mambo ya kipuuzi ndio anawapa cheo sijui anamkomesha nani

Joyce Mukya aliteuliwa na Magufuli Ubunge wa Viti Maalum Chadema? Mbona nae alifanya ya hovyo hovyo na Mwenye Chama!
 
Mtoa rushwa anakuwa rewarded na kuongea kwa kibri hadharani. Halafu tunazugwa napambana na rushwa na mafisadi wakati yeye ndiye wa kwanza kuwapaisha watoa rushwa!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…