Na Mary nagu ni mzigo kweli kweli!! Ila yupo tu!Mbona wamemshindwa Mary Nagu?, Acha kuwapa sifa za Uongo
jerry Muro wapi?
ujue magufuli anatuona watanzania mapunguwani sana. kwake yeye wale wanaofanya mambo ya kipuuzi ndio anawapa cheo sijui anamkomesha naniChama cha manunuzi kazini
umeme uko wapi nyie wazee wa viwanda?hilo ni bao la kimo cha nyoka
safi Mnyeti ni mchapakazi sio mla rushwa hongera rais bado Jery Muro
ujue magufuli anatuona watanzania mapunguwani sana. kwake yeye wale wanaofanya mambo ya kipuuzi ndio anawapa cheo sijui anamkomesha nani
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Pastori Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Hapo awali Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari na yule wa Arusha Godbless Lema, walimtuhumu Mnyeti kutoa rushwa katika Vitendo vya kununua madiwani wa CHADEMA
Cc ALumeRu!! Wapi? Alumeru,eti? ALUMERU!Hao rc wa hai na alumeru
jerry asubili u DC nafasi za udc ziko nyingi waziJeri muro hayumo?
ha ha ha ha ha ha MNYETI ana dessrve sana iyo position yeye alisimama bega kwa bega kipindi mkuu anatafuta urais manake watu wote walikimbilia kwa lowasa ila mnyeti akabakimnyeti?kweli baba hupangiwi!
Hii kauli pendwa itakuwa inefanya yake.Sasa mkuu wa mkoa wa Mtwara yule mama amepelekwa wapi sasa?
ha ha ha ha ha ha da jamaa umenichekesha sana huyu jamaa ni kubwa jinga hafai kupewa nafasi hata ya ukatibu tarafa yeye muache ashinde na kina wema sepetuhuyu naskia viti maalum wanawake udc