Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

Sasa kama hapakuwa na tatizo lolote, Mwijage na Muhongo mbona walifura sana kwenye vyombo vya habari?

Halafu rais anaposema kwamba kuna watu walitaka kujinufaisha binafsi, hao watu wamechukuliwa hatua gani mpaka sasa? I bet my life, hao watu ni wa CCM. Hapa ndipo ninapomwona rais kuwa ni mfanya maigizo kwenye suala la kupambana na rushwa. He ain't serious at all!
Yawezekana kuwa wapo CCM au wamehama maana ujio wa hichi kiwanda ulipitia CCM,lakini kina nani walikuwa wanafanya kazi ya u middle man? huko CCM au nje ya ccm? Yule mama BUKUKU pia aliwalaumu akasema wanafanya sabotage kwa Dangote na Serikali akatoa mfano wa mafuta ya disel huibwa kila wakiagiza, na rais anasema atatoa gas TPDC na siyo kwa wafanyabishara wengine jiulize hao ni nani?
 
Na kwa furaha kubwa,Cement imeshaanza kuja hadi Dar hongera JPM, hongera Alhaj Aliko Dangote kwa kupatia ufumbuz jambo hili.
 
Back
Top Bottom