Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.
 
Akili zako ni ndogo,, huu ni awamu nyingine ya uongozi na mambo yake !
Mzee, pombe fanya mambo yako kwa uhuru
isitoshe hili jambo limetokea simu nyingi , wewe unatuletea hapa leo ili iweje ?
Leo tunaongelea issue ya kamishna mkuu wa TRA kupigwa chini
 
Kati ya wewe na JPM, ni nani anaielewa vizuri serikali na utendaji wake? Huyu jamaa alishakua kwenye baraza la mawaziri la huyo unaedai anadhalilishwa. Acha ajitetee mwenyewe mkuu.

JPM anajua adha aliyoipata wakati wa kampeni na kumbuka ana muhula wa pili tena sidhani kama yuko tayari kuzomewa kwa mara nyingine. Na kwa kua kwenye kampeni alijiuza yeye kama yeye, atahakikisha anatekeleza ahadi zake hata kama itamaanisha kuwakosoa watangulizi wake. Mkitaka apunguze kasi hakikisheni hagombei urais muhula ujao.
 
duuuh sasa kma safari za nje zimeleta fedha deni la taifa zimeongezeka kwa 33trillion hpo huoni usemalo sio kweli.....jk amejenga barabara plus majengo mpya muhimbili ila serikali yke imefanya ufisadi mwingi kuliko serikali za awamu zote.......kuchagua washkaji kua mawaziri hata kuwakemea alishindwa mkataba wa buzwagi waziri ulikua signed hotelini london......bunge likambana waziri yeye akamtetea kwa urafiki wao
 
sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenz kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,
Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.
.safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

.kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.

hajawadhalilisha kama unavyofikiri ww, amepewa baraka zote na wazee, ndiomaana alishawaambia tangu mapema kua TINGATINGA LINAKUJA.
 
Magufuli akiendelea hivi,basi CCM inatapata asilimia 99 mwaka 2020,JK aliingia kwa asilimia 89 kaondoka kwa asilimia hamsini na kitu,JK kwa kweli upole ulimzidi mafisadi wamemharibia sana credibility yake.Baba Magu Rudisha heshima ya CCM kwa kuwatendea kazi watanzania waifurahie nchi yao
 
Hakuna hoja mpya uliyoandika hapa zaidi ya kushindwa kuficha upumbavu wako
 
Ulijua UKAWA ndio wataisoma namba? Haaa you dead wrong my nikka mtanyooka sana mlikuwa mnaishabikia ccm kwa kuwa mlikuwa mnakula kuku kwa mrija kwa kulindwa na kupeana mashavu na Mfumo ,sasa magufuli anaziba mirija unaanza kupiga yoweee tulia hapa kazi na mabadiliko.
 
sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenz kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,
Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.
.safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

.kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.

Rais wetu anahitaji utulivu kwa sasa. Maomba achelewe kuunda baraza kama buhari wa naijeria wabaki kwanza hvhv yeye, makam na pm wanatosha wang'oe magugu kwanza.
 
Utumbo mtupu! Ngoja zamu yako uombe urais ufanye nawewe yako. Unashindwa kuelewa rais hafanyi kazi kwa kutumia mitandao. Alinadi sera na sasa anatekeleza ahadi alizoweka kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom