Rais Magufuli acha dhihaka

Hawezi nishirikisha maana mimi sio muovu wala dhalimu, ila ni yeye fullstop.

Kwa hiyo unaongelea Majungu zaidi, maana unakataa kwamba ulishirikiana naye.
 
Mkuu Tindo ufahamu Mwenyezi Mungu anakuona, muogope Mwenyezi Mungu, majungu hayakufai kwa umri ulionao.
 
Mtamkunbuka magufuli nyie mnaokula makombo mezani kwake. Kama tusivyomheshimu Mkapa ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.
 
Mtamkunbuka magufuli nyie mnaokula makombo mezani kwake. Kama tusivyomheshimu Mkapa ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.

Mkuu kama huna kazi/mpunga unahitaji msaada omba tu usiwe na shaka kwa sababu imeandikwa kama una shida omba bila kuiba. Binafsi sina shida ya kula makombo na nina uwezo wa kujilisha mwenyewe kwa kazi zangu na kuangalia familia yangu bila kukurukakara. Hoja zikiwashinda mnaanza kuwewesekaweweseka na kuwabambikia shutuma watu ambao hawahusiki kwa namna moja au nyingine. Kumbuka usemi huu ''Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.'' Ukikumbuka hilo hutakuwa na wasi wasi na michango yako hapa JF.
 
Safi Sana..ila point yangu ipo hapo kwenye maana ya Demokrasia..ni kwa mujibu wa Nani? Maana hainaga conventional meaning..Abraham Lincoln alikuwa na tafsiri yake..JPM our excellence pia anayo maana take ya Demokrasia..ambayo ndio ya kwetu CCM.CDM wanayo maana ya Demokrasia. Democracy is not like a Coca-Cola..haya tiririka hiyo maana ya kidhungu umeipata wapi..scholar gani huyo umemkariri..😃
 
Ulizaliwa mwaka gani? Edwin Mtei, Bob Makani walikuwa wenyeviti Kwenye vipindi gani? Jaribuni kuondoa uzuzu mnaorithishwa na mazuzu wenzenu.
ni kweli tunahitaji demokrasia ya ukweli na si ubabe na ujanja ujanja, haiwezekani toka mwaka 92 mpaka leo mwenyekiti wa CDM yupo tu madarakani na hataki kung'atuka. anabadili vipengele vya katiba ili afie madarakani. watanzania tukatae huu udikteta.
 
Nawaambia msipo badilika mtakoma, magufuli ni jiwe kwelikweli hawezi lainishwa na vimaneno vya kwenyekanga. Narudia tena, msipobadilika mtakomaa
 
Nawaambia msipo badilika mtakoma, magufuli ni jiwe kwelikweli hawezi lainishwa na vimaneno vya kwenyekanga. Narudia tena, msipobadilika mtakomaa
Nchi haiendeshwi kama unavyotaka msukuma eidha tafuta kisiwa uishi pekeyako.
 
Crap.
 
Hoja inahusu kiongozi wa nchi na siyo chama. Kwani MBOWE anaaongoza nchi? YAALEKEA MBOWE KAWAKAMATA KUNAKO NYETI ENHEE!!!
ni kweli tunahitaji demokrasia ya ukweli na si ubabe na ujanja ujanja, haiwezekani toka mwaka 92 mpaka leo mwenyekiti wa CDM yupo tu madarakani na hataki kung'atuka. anabadili vipengele vya katiba ili afie madarakani. watanzania tukatae huu udikteta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…