Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,507
Kwako Mhe. Rais Magufuli. Inawezekana umeshauriwa vibaya kuhusu huyu DC mpya wa Rufiji uliemteua.
Ni ukweli uliowazi kabisa Huyu Juma Abdallah Nywayo atakuaibisha kwa jinsi alivyombabaishaji katika utendaji wake wa kazi.
Amechangia kudumaza maendeleo ya wanaTandahimba hapa mkoani Mtwara kwa miaka 10 aliyokuwa mbunge ambao aliupata kwa kuchakachua kura kwasababu alikua hauziki kwa wananchi.
Lakini pia amesababisha kukua kwa upinzani dhidi ya chama chetu pendwa cha CCM hivyo kupelekea CUF kuchukua jimbo letu la Tandahimba mwaka jana 2015.
Binafsi sina chuki na Bw. Abdallah Nywayo lakini kwa kasi yako hakufai kabisa katika falsafa yako ya ''HAPA KAZI TU.''
NADIRIKI KUSEMA KATI YA WAKUU WA WILAYA WOTE ULIOTEUA JUMA NYWAYO NI UNDERPERFORMER OF ALL TIME.
AFUATILIWE NA USALAMA WA TAIFA AND TIME WILL TELL.
Nawasilisha