Rais Magufuli aambiwe ukweli

Tukiacha unafiki wa jibu "NDIYO MKUU" naamini ataweza kubadilika
 
Korosho bado tunahakiki inakuwaje mtu ana tani za korosho afu hana hata hatua 1 ya Ardhi!
Mkuu tunafahamu sote kuwa isingewezekana wote wawe wakulima, kwani imeandikwa wapi inchi hii kwamba wafanyabiashara wanyanyasike au kuwa hawaruhusiwi kuuza korosho?
 
Wale Makada Watiifu Wa Lumumba Wamepatwa Na Nini Maana Nameasi Sasa Hivi
 
Tulikuwa tunajua tangu mapema biashara zilizokuwa zinategemea mafisadi na money launderers lazima zife. Mkuu tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wa kifisadi
Mkuu ebu ainisha kwa mifano anuai hizo biashara ambazo zilitegemea mafisadi. Umejaribu kutumia elimu yako japo kidogo kujua effect ya serikari kuhamishia pesa zake zote BOT?
 
Ndugu mjumbe kuna mmoja amenifuata inbox akaniambia tatizo mkulu ni mkali kias kwamba mtu anaogopa atoeje ushauri, kama hivi ndivyo, ni kwa nini 2020 kwenye kura watu wasiache unafiki wa kufa kijerumani na tai shingoni achaguliwe mtu mwingine?
 
Walanguaji tumeula wa chuya japo ilikua ni biashara halali kipindi cha nyuma na na ilikua inaingiza kipato kwa kijiji husika
Hahahaa mkuu na wewe ni muhanga? Hivi nataka kufahamu, serikali ni kweli kabisa ilijua siku zote wakulima ndo huwa wanauza korosho Vietnam? Mbona mpaka mashuleni tunafundishwa middlemen huwa wapo?
 
Ndugu mjumbe kuna mmoja amenifuata inbox akaniambia tatizo mkulu ni mkali kias kwamba mtu anaogopa atoeje ushauri, kama hivi ndivyo, ni kwa nini 2020 kwenye kura watu wasiache unafiki wa kufa kijerumani na tai shingoni achaguliwe mtu mwingine?
Ndio maana nikauliza, ashauriwe nini na nani Amshauri!
Ila 2020 huyu jomba akipita, eeeeeeeh! Wacha tusubiri
 
Tukiacha unafiki wa jibu "NDIYO MKUU" naamini ataweza kubadilika
Maendeleo siku zote yamekuja kwa kupingana kimawazo na kupata wazo moja bora na linatekelezwa, natamani watu waje na mawazo mbadala hapa tujadili kwa hoja kwa kuwa najua hakuna anayejua kila kitu
 
Mkuu ebu ainisha kwa mifano anuai hizo biashara ambazo zilitegemea mafisadi. Umejaribu kutumia elimu yako japo kidogo kujua effect ya serikari kuhamishia pesa zake zote BOT?
Duniani kote pesa za serikali hukaa Central Bank na wala si Commercial Banks ilikuwa TZ pekee ambako pesa za serikali zilikuwa zinakaa kwenye Commercial Banks ambapo hizo hizo Commercial Banks zinakwenda kuchukua mikopo BOT kwa kutumia pesa za serikali huu ulikuwa ujinga uliopitiliza ndiyo maana Kenya na India walikuwa wauzaji wa Tanzanite kuliko TZ huo nao ni ujinga uliopitiliza kiasi cha hali ya juu! Sasa amekuja mwanaume wa shoka amewanyoosha ni lazima mtalalamika tu kwa sababu nyinyi mlikuwa wanufaikaji wa mfumo huo wa kifisadi. Kwa waelewa wote wanajua Mh. Rais Magufuli anafanyakazi kubwa sana na atakuwa na wapingaji kama nyinyi lakini tunajua ataendelea kuwanyooka kwa kuwa watz walio wengi wako nyuma yake wanamuunga mkono.
 
Aisee !! kwa uandishi wa namna hii halafu unasema umesoma NIT?
Yaani uandishi wako na msimamo wako ni sahihi kabisa.

Nikwambie tu kuwa huyu mheshimiwa kuna mambo machache sana amefanya vizuri lakini mambo aliyoyaharibu ni mengi kuliko hayo machache aliyofanya vizuri...
 
Mkuu, umeongea POINT kubwa lakini kuna watu lazima wakupinge tu.
 

Umeona machache mazuri,wengine hawaoni hata moja zuri na bado utaonekana mbaya kwa hayo machache unayompongeza.
 
Yeye anapenda kutuambia ukweli... Ila Sisi tukimwambia ukweli wasiojulikana wanaingia kazini...!! wat a hopeless man...coward...dictator...
 
Excellent kabisa hii kitu
 
Sidhani kama aambiwagwi ukweli... na ukweli anaujua siyo kama haujui...

Ila washauri wake wanaweza kua wanafanya mambo lwa kumfurahisha, ndiyo maana leo limesemwa hili, kesho linakanushwa...


Cc: mahondaw
 
Rais anajua kila suala. Ukitoa ushauri, na zaidi ukisema ukweli, basi wewe ni mshindani wake. Kwa hiyo tatizo halitoki au haliko nje kwamba kuna anayepotosha n.k., bali ndani ya kichwa cha rais. Suluhu ni nini, ndio mtihani!
 
Kwa sasa umeme upo shwari,
Bandari safi,
Vitu vingi kafanya,
Uchumi safi,
Ulipo zidisha uharo nu umbulula ni swala la kilimo watu tumepoteza mwelekeo Mahindi tunayo mpaka ya mwaka juzi acha tu kuna fundo limenikaba kwenye koo kwa hili la kilimo
Wa Tz kama wewe tunaamini ipo cku nasi tutawapa nchi nyingine misaada ya kiuchumi? Siyo mda Marekani atakuja kupiga magoji kuomba msaada.
 
Bila shaka nawe ni msomi pengine una Digree 2 au 3.MUNGU wangu
Tulikuwa tunajua tangu mapema biashara zilizokuwa zinategemea mafisadi na money launderers lazima zife. Mkuu tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wa kifisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…