Rais kuhutubia viongozi wa dini

Rais kuhutubia viongozi wa dini

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,884
Nadhani rais anahutubia viongozi wa dili live saa hii, kwa nyie wadau mnaoangalia mnaweza kutujulisha nini kinaendelea...asanteni
 
Nilisoma kwenye net last week si ndo alikuwa na mkutano nao? Nadhani atakuwa anajaribu kuwapa makanyo wasimchafua wakati wa kampeni!
 
sa si anghutubia Watanzania waoote kwa pamoja
kwa wanaongozwa na Roho wawe makini
na roho zidanganyazo,
 
Back
Top Bottom