Rais kugawa maburungutu ya fedha: Wasaidizi wa Rais wako sahihi?

Hizi pesa si kwamba zilichangwa na viongozi mbali mbali hadi kufika mil 60 ambapo yeye alitoa mil 10,waziri mkuu 10,mawaziri wenine eg Mhagama na Ndalichako 6 kwa kila mmoja na wenginwo hadi wa mikoa si kwamba Rais katoa 60 zote yeye pekeee na alidai za chakula kwa walim na wanafunzi wa chuo kikuu wanualim waliokua pale.
 
Labda baba Mwenye nyumba Hana limit ya kutembea n'a mijihela
Ova
Anayaweka maisha yake pabaya sana, maana Mijambazi nayo ishajuwa msafara wake unaambatana na hela, hatari sana, kwani ikiwa ni Open Chq kutakuwa na ubaya gani?!
Hizi KIKI mbaya sana aise..
 
Sio kwamba Rais alitoa yeye pekee hizo mil 60 yeye alihaidi kuwapa 10 kwaajiri ya chakula na di chache akadai ile 10 aliyotoa ni ndogo akamwita waziri mkuu pia aongezee akatoa 10 na viongozi wengine eg waziri Mhagama na Ndalichako walitoa mil6 kwa kila mmoja inshort walichangia viongozi mbali mbali hadi kutimia hizo mil 60 sio kwamba Rais atoa yeye pekee yeye katoa 10 tu mkewe pia alitoa mil 1 mama Majariwa ml 1 pia hadi mkuu wa mkoa alitoa mkurugenzi wa usalama alitoa Spika pia alitoa 5 etc.
Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg
 
Hivi jamani rushwa, hongo, bribe au corruption ni tofauti na matukio kama haya..??

Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg
 
Hivi Ndugai ametoa wapi Mil. 6 chapchap hivyo?

Ndalichako je?

Ni katika mishahara yao?
 
Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg
I thought you had an agenda; kumbe upuuzi. Mbona hujahoji fedha alizochangisha kanisani na kukabidhi kwa kanisa. Huu ni ujinga wa degree ya juu sana. Kachangisha fedha; zimepatikana lazima akabidhi ulitaka akukabidhi wewe.
 
Huu ni utakatishaji fedha! Ni benki gani ilimruhusu huyu mtu ku-drawal cash fedha yote hiyo? Na kwa nini anatembea na mabulungutu yote hayo?
Hazjatoka kwa MTU m1 Hapo RAIS katoa mil 10
 
Hizi pesa si kwamba zilichangwa na viongozi mbali mbali hadi kufika mil 60 ambapo yeye alitoa mil 10,waziri mkuu 10,mawaziri wenine eg Mhagama na Ndalichako 6 kwa kila mmoja na wenginwo hadi wa mikoa si kwamba Rais katoa 60 zote yeye pekeee na alidai za chakula kwa walim na wanafunzi wa chuo kikuu wanualim waliokua pale.
Wangekuwa wanalipwa vizuri kusingekuwa na sababu ya kuwachangia. Maskini ndiyo huwa wanachangiwa!!

Kitendo cha kuwachangia ni kwamba anawaonea huruma hivyo kwa kuwa wao wana kipato kikubwa basi wanawasaidia wasionacho.

Only in Tanzania. Ingekuwa nchi nyingine walimu wangemuijia juu. Badala ya kuwawezesha mafao yao eti anawapa 50 K.

Binafsi naona kitendo hicho ni kama vile dharau au kudharirishana.
 
Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg

Kwani kuna sheria gani au utaratibu gani umevunjwa wewe Bawacha?
Wewe ni mmoja ya waandishi wapumbavu
 
ifanyike na harambee ya kuwalipa wazee waliokuwa katika jumuia ya afrika mashariki wanateseka sana zaidi ya waalimu
 
Back
Top Bottom