Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
amekwenda kusafirisha tembo wake.
Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.
Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi ngumu na majukumu uliyonayo katika kiti chako.
No offence but mapumzikoni kwa kazi gani aliyoifanya?
Serious yuko mapumziko

Ok, as far as I know he also went to Billila in March this year for two weeks break.
Well, this is the second time for this year, for me I have no problem as he may surely deserve a total rest basing on what he has accomplished for Tanzanians. So let us list and appraise
I start with number 10
10. Maandalizi ya sensa
9
8
7
6
yaani watanzania watu wa ajabu sana baada ya kufuatilia maisha yako magumu uyatatue unafuatilia maisha ya kikwete ambayo hadi kufa kwako hutayapata wala kuyakaribia . muda huo wa kufuatilia maisha ya kikwete kwa nini usiutumie kutafuta hela ndio maana mnakufa masikini. sasa ameenda kupunzika je wewe inakuhusu? au ulitaka asipunzike?Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.
Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi ngumu na majukumu uliyonayo katika kiti chako.
Amesafiri sana na amechoka anahitaji mapumziko na kutafakari baada ya waalikwa wawili kati ya wanne waliokwenda US kupanga mkakati wa food security kurudi kwa Bwana Mungu.
Lakini pia alitembelea mashamba mawili ya minanasi. Amejichokea mkulu anahitaji mapumziko.
No offence but mapumzikoni kwa kazi gani aliyoifanya?