Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

Cheki na mbunge wako au the minister for information. lol.

Hivi Tanzania nako kuna Waziri wa Habari?!

Haya ninafuata ushauri wa Zakumi naishi kama Mtanzania; "hewallah Bwana" kwa lolote linalofanywa na serikali bila ya kushirikisha ubongo
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Hivi Tanzania nako kuna Waziri wa Habari?!

Haya ninafuata ushauri wa Zakumi naishi kama Mtanzania; "hewallah Bwana" kwa lolote linalofanywa na serikali bila ya kushirikisha ubongo

Tumuulize EMT, anamaanisha "Minister of Information" au "Minister of Misinformation".
 
Hivi Tanzania nako kuna Waziri wa Habari?!

Haya ninafuata ushauri wa Zakumi naishi kama Mtanzania; "hewallah Bwana" kwa lolote linalofanywa na serikali bila ya kushirikisha ubongo

Hewallah Bibi. Fuata ushauri wangu :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Hata CCM pana NEC Zanzibar n.k.

There you go, hii Zanzibar inajiendesha kivyake kabisa, sasa iweje sisi kudai TANGANYIKA liwe kosa, yaani tunakiuka katiba?
na kuna wahuni wamefikia hatua wanaita TANGANYIKA eti TANZANIA BAR !!! huu ni uhuni na haikubaliki
 
Ni kweli utaratibu unaotumika kutoa hizi nishani haujulikani kwa watu wengi.

Hatujui ni vigezo gani huwa vinatumika kutoa hizo nishani.

Hatujui value ya hizo nishani and what actually do they mean kwa watu wanaopewa.

Hivi Bi Kidude akikatiza Tandika atapewa heshima zaidi kwa sababu ya kupewa nishani au watamheshimu tuu kama Bi Kidude wanayemjua tokea zamani?

Ni hamjui kwa sababu hizo taarifa hazijawekwa wazi ama hamjui kwa sababu hamjajishughulisha na kuzitafuta?
 
Swali la kunyongeza ni JE WANAOPEWA HIZO TUZO WANAISHI KAMA KIOO KATIKA JAMII? waliowapa tuzo wamewapa miiko ya hizo tuzo?

Mfano mfanyabiasha kama mengi kuna mambo wamemueleza kuhusu mazingira ya viwanda vyake? anawezaje kuwa na tuzo ya mazingira wakati COCA COLA bado zinapatika kwenye chupa za glass? kuna recycle hapo?
hao wanatoa tu kwa kuangalia upande mmoja kwa kuficha mengine.

Kuhusu Bi kidude napinga kupewa hiyo tuzo kwa sababu kuu mbili

1. Muziki wa taarabu umechangia sana kuvunja maadili kwenye jamii hasa uswahili ( domestic violence) hasa kwa kima mama
2. Sijaona mchango wake kwenye utamaduni wa nchi hii au kukuza ajira kwenye fani yake, bora wangepewa kina profassa jay waliofanya mapinduzi kwenye Bongo flava na sasa vijana wengi wanakwenda choonikwa ajira hiyo.

Mwisho
Tunataka TANGANYIKA we will be smart than this
 
Ni hamjui kwa sababu hizo taarifa hazijawekwa wazi ama hamjui kwa sababu hamjajishughulisha na kuzitafuta?

hakuna taarifa ni mapenzi ya raisi ilo ndilo tunaweza kusema, na hii ni hatari kuwa na raisi anayeweza dish out mamilioni kwenye public fund kufanya anavyotaka yeye
 
Ni mapenzi ya rais kwa mujibu wa nini? Kwa maneno mengine wewe umejuaje ni mapenzi ya rais?
 
Ni hamjui kwa sababu hizo taarifa hazijawekwa wazi ama hamjui kwa sababu hamjajishughulisha na kuzitafuta?

Possibly both. Unajua wabongo sometimes hatujihangaishi sana kutafuta information kutoka source husika.

Tuna-rely zaidi kwenye information zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari ambavyo vingi huwa vinaripoti matukio tuu.

Lakini pia kuna ugumu wa kupata information unazozitaka kutoka kwenye idara mbalimbali za serikali.

Unaweza kuwaandikia barua idara husika kupata general information tuu ya vigezo vinavyotumika kutoa nishani kwa watu lakini ikakuchukua muda mrefu kupata majibu au usijibiwe kabisa.

We know how difficult it is to get information we need from the Government. Several leaders from the village to the national level are reluctant to release information, even when it is important to the public.

Many leaders in district and regional offices, ministries, and executives in public offices think that it is their right to deny people and reporters information.

Perhaps the two proposed Right to Information Act 2010 and the Media Act 2010 will pave a way for the release of information to the public.

They propose that every person should have not only the freedom of opinion and expression of his/her ideas, but also the right to seek, receive and/or disseminate information.

They further propose that everyone should have the right to be informed at all times of various important events of life and activities of the people and also of issues of importance to the society.
 
Hii ni kukosekana kwa initiative kutoka serikali, kama wangekuwa na nia haya mambo yangekuwa kwenye public domain, na wala isingesumbuka kusubiria magazeti kuandika kila kitu ili tujue.
Ili tatizo linatokana na serikali kukwepa kutoa taarifa, maana idara moja ikianza kutoa taarifa na nyingine zitaulizwa kwa nini azitoe taarifa.
Hizi tuzo zilipatwa kujulikana zinapatikana vipi waziwazi lakini kwa sasa ni kificho.

Kwa misingi hiyo naomba kupingana na wewe unaposema [ Possibly both. Unajua wabongo sometimes hatujihangaishi sana kutafuta information kutoka source husika. ]
hii kauli sio sahihi maana umekuja kuipinga mwenyewe hapa
[Unaweza kuwaandikia barua idara husika kupata general information tuu ya vigezo vinavyotumika kutoa nishani kwa watu lakini ikakuchukua muda mrefu kupata majibu au usijibiwe kabisa.]
Kwa mising hiyo umetoa jibu kwamba serikali ndio big player kwa information kutopatikana
 
Hunielewa. NN aliuliza: "Ni hamjui kwa sababu hizo taarifa hazijawekwa wazi ama hamjui kwa sababu hamjajishughulisha na kuzitafuta?"

Nikamjibu "possibly both."

Kwanza kwamba taarifa haziwekwi wazi na pili pia wabongo huwa hatupendi kujishughulisha kuzitafuta hata kama zingewekwa wazi.

Kwa hiyo, kauli zangu hazipingani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom