Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

rais kikwete amesema serikali haiwezi kuanzisha wala kuiendesha na kuihudumia mahakama ya kadhi na ameongeza kuwa hilo ni jukumu la waislamu wenyewe na kwamba hawazuiliwi kuianzisha mahakama hiyo na kwamba hayo ndio yalikuwa makubaliano.

Pia,rais kikwete amesema tamko la viongozi wa dini kuhusu suala la katiba mpya, limemshangaza, limemfedhehesha na kumsikitisha sana.

Rais kikwete ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya amani cha viongozi wa dini wa mkoa wa dar-es-salaam.

chanzo: itv
sitaki nataka
 
Utakua wewe ndo umepewa mimba, huyo unayemuita kapewa mimba itakua aliyempa ndo kakupa na wewe, mnatuletea vijidini vya kuchinjana halafu unataka tukenue.

We kafiri mbona unapayuka ka umelazwa njaa!
Mi hupendelea kuongea na mwenye mbwa.
Manake wazembe na wazurulaji km wewe napoteza muda tu kujadili nanyi.
Nenda kamuite anaekupa choo nimuelekeze. We subiri saa ya kula ukatege makalio yako jikoni.
Nyambaff.
Mtoto wa zinaa.
 
Kumbe ndo sifa zako hizo safi sana, mbumbumbu utamjua hata anachokiandika kinakiwa cha kipumbavu tu, kwa hiyo hiyo qadhi ndo imeelezea haya unayoandika?, eti ndo tukubali ujinga wa watu wajinga km huyu, hilo subiri makalio yako tuyachezee ndo tutakubali sheria za chinjachinja ndo ziongoze nchi,
 
Amesema kamwe Serikali haitaiendesha mahakama ya kadhi na kama waislamu wanataka mahakama hiyo basi wachague kuiendesha, akimaanisha itakuwa chini ya waislamu na itaendeshwa na waislam

Source : Vyombo vya Habari

Tooooba haya ngoja tusubirie tamko la maimamu.

Hii mara pili Jk kukanusha serikali kuandaa mahakama ya kadhi, mara ya kwanza ilikua Dodoma kwenye msikiti wa Ghadafi.

Joto la mgawanyiko wa kidini kuelekea kura ya maoni juu ya Katiba inayopendekezwa linaonekana kuongezeka mara dufu aisee looooh!
 
Kumbe ndo sifa zako hizo safi sana, mbumbumbu utamjua hata anachokiandika kinakiwa cha kipumbavu tu, kwa hiyo hiyo qadhi ndo imeelezea haya unayoandika?, eti ndo tukubali ujinga wa watu wajinga km huyu, hilo subiri makalio yako tuyachezee ndo tutakubali sheria za chinjachinja ndo ziongoze nchi,

Kafiri mla nyamafu. Nadhani hakuna upumbavu duniani km kuabudu mwanasesere wa kizungu aliyevishwa nepi.
Na ukoo mzima mkapiga goti na kukaomba hako kasanamu kawatatulie matatizo yenu ya uzazi na maradhi sugu.
picha mkanunue dukani halafu muiweke juu ya meza na Kuipigia goti.
Kuna upambafu km huo?
Hivi ulishawahi kufikiri hata siku moja kuwa hizo sanamu zote mnazoziabudu kuna mtu alizichonga na Kuwauzia?
Kweli Ukafiri giza.
 
Kafir ni wewe usiyejua unaandika nini, mbumbumbu kabisa wewe
 
Kafir ni wewe usiyejua unaandika nini, mbumbumbu kabisa wewe

Teh teh teh!
Vipi Gwajima kaisha tafuna hio Tugas yako?
Manake nyie makafiri mko tayari kufanya lolote kumridhisha bwana.

Mchungaji akikuamuru uiname we unautikia tu! "Tawile baba mtakatifu"
Matokeo yake vitoto vya haramu vinajaa mitaani.
We mwenzetu umeshazalishwa vingapi?
 
Last edited by a moderator:
Ilan ilikuwa na ahadi nyingi tu.hata kigoma waliambiwa itakuwa dubai ya africa je wametekelezewa?

Unachanganya ilani na ahadi za papo kwa papo. Kwenye ilani ya ccm 2005 ilikuwa watawapa mahakama ya kadhi, ila kwenye ahadi za papo kwa papo wakati wa kampeni 2010 alisema Kigoma itakuwa dubai ya Afrika.
 
Tarehe 28 Machi, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini zote mbili Ukristo na Uislamu, katika mkutano wa Kamati ya Amani Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, uliopo Posta Dar es Salaam alitoa hotuba ya ufafanuzi kuhusu Mahakama ya Kadhi kwa kusema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi. Rais Kikwete alisema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi bali inaupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria mbalimbali Bungeni (Miscellenous Amedments) ambamo ndani yake pamoja na Sheria nyingine ipo pia Sheria inayohusu Uhuru wa kuabudu ya mwaka 1964 ambayo ndani yake ndimo Kadhi amezungumziwa. Lengo la muswada huo ni kutaka kuitambua Kadhi ambaye miaka ya nyuma alikuwa anatambulika kisheria na kwamba alikuwa na mamlaka katika mambo yanayohusiana na ndoa, wakfu na mirathi lakini lilipotokea suala la kijinai, kosa hilo lilikuwa likiamriwa katika mahakama za kawaida. Alisema kuwa kwa kawaida Sheria hutungwa kutokana na mahitaji wa kijamii na kwamba Muswada unaopelekwa bungeni unapelekwa kwa lengo la kuangalia muundo na utendaji wa mahakama ya Kadhi hauvuki mipaka yake kiutendaji. Alisema kuwa hata Sheria ya ndoa ya mwaka ya mwaka 1971 in.azitambua ndoa zilizofungwa kanisani na msikitini kwa kufuata misingi ya dini hizo. Alisema hakuna jambo jipya katika mchakato wa kupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria bungeni tofauti na watu wanavyopotosha kuwa Serikali imevunja taratibu. Alisema kuwa haoni haja ya suala hilo kuhusishwa na Katiba Inayopendekezwa hadi kufikia hatua ya Viongozi wa kidini kutoa maelekezo ambayo yanalenga kushawishi Jamii ipige Kura ya Hapana. Aliwataka maaskofu na Watanzania wengine wajiimarishe kiufahamu kuhusiana na mahakama ya Kadhi kuliko kusambaza taarifa za upotoshaji. Rais alitoa pia msimamo wa Serikali ni kuwa ni a) Serikali haitaanzisha mahakama ya Kadhi bali itapeleka Bungeni Sheria ambayo iwapo Waislamu wataamua kuanzisha Mahakama ya Kadhi itasimamia mahakama hizo ziweze kufanya kazi bila kukiuka misingi na taratibu. b) Serikali haitagharamia uendeshaji wa Mahakama za Kadhi na badala yake Waislamu wenyewe watajua namna ambavyo watapata hela za kuendesha mahakama hiyo. Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa Sheria zinazotungwa na Serikali zinawekwa ili kuwasaidia wananchi walio katika makundi mbalimbali waishi vizuri kwa kuelewana hivyo ni vyema Viongozi wa dini wakajifunza na kuelewa juu ya mambo mbalimbali kabla ya kujiingiza kwenye utoaji wa maelekezo ambayo badala ya kuisaidia Jamii yanaipotosha. Halikadhalika, Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa makundi mbalimbali kwenye Jamii yalikuwa na mahitaji yao ambayo walitaka yawemo kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini si kila hitaji lilifanikiwa kuingizwa. Alisema kuwa hata Chama Cha Mapinduzi kilikuwa na mambo zaidi ya 60 iliyotaka yaingie kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini mambo ambayo yalifanikiwa Kuingia ni 12 tu.

Ukitaka kumsikia Rais bonyeza link hii:

https://www.hulkshare.com/tagco/hotuba-ya-rais-jakaya-kikwete-wakati-wa-mazungumzo-na-kamati

Sasa hapa kisichoeleweka nini? Watu wanavamiana tu bila sababu.
 
Almaruhum ustadh ILUNGA alikisisitiza nchii hii inaongozwa na mfumo kristu na kila aneongoza ni kibaraka wa mfumo sasa ningeshangaa sana kuona mkwere anakubaliana na mahakama ya kadhi
 
Tarehe 28 Machi, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini zote mbili Ukristo na Uislamu, katika mkutano wa Kamati ya Amani Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, uliopo Posta Dar es Salaam alitoa hotuba ya ufafanuzi kuhusu Mahakama ya Kadhi kwa kusema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi. Rais Kikwete alisema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi bali inaupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria mbalimbali Bungeni (Miscellenous Amedments) ambamo ndani yake pamoja na Sheria nyingine ipo pia Sheria inayohusu Uhuru wa kuabudu ya mwaka 1964 ambayo ndani yake ndimo Kadhi amezungumziwa. Lengo la muswada huo ni kutaka kuitambua Kadhi ambaye miaka ya nyuma alikuwa anatambulika kisheria na kwamba alikuwa na mamlaka katika mambo yanayohusiana na ndoa, wakfu na mirathi lakini lilipotokea suala la kijinai, kosa hilo lilikuwa likiamriwa katika mahakama za kawaida. Alisema kuwa kwa kawaida Sheria hutungwa kutokana na mahitaji wa kijamii na kwamba Muswada unaopelekwa bungeni unapelekwa kwa lengo la kuangalia muundo na utendaji wa mahakama ya Kadhi hauvuki mipaka yake kiutendaji. Alisema kuwa hata Sheria ya ndoa ya mwaka ya mwaka 1971 in.azitambua ndoa zilizofungwa kanisani na msikitini kwa kufuata misingi ya dini hizo. Alisema hakuna jambo jipya katika mchakato wa kupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria bungeni tofauti na watu wanavyopotosha kuwa Serikali imevunja taratibu. Alisema kuwa haoni haja ya suala hilo kuhusishwa na Katiba Inayopendekezwa hadi kufikia hatua ya Viongozi wa kidini kutoa maelekezo ambayo yanalenga kushawishi Jamii ipige Kura ya Hapana. Aliwataka maaskofu na Watanzania wengine wajiimarishe kiufahamu kuhusiana na mahakama ya Kadhi kuliko kusambaza taarifa za upotoshaji. Rais alitoa pia msimamo wa Serikali ni kuwa ni a)Serikali haitaanzisha mahakama ya Kadhi bali itapeleka Bungeni Sheria ambayo iwapo Waislamu wataamua kuanzisha Mahakama ya Kadhi itasimamia mahakama hizo ziweze kufanya kazi bila kukiuka misingi na taratibu. b)Serikali haitagharamia uendeshaji wa Mahakama za Kadhi na badala yake Waislamu wenyewe watajua namna ambavyo watapata hela za kuendesha mahakama hiyo. Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa Sheria zinazotungwa na Serikali zinawekwa ili kuwasaidia wananchi walio katika makundi mbalimbali waishi vizuri kwa kuelewana hivyo ni vyema Viongozi wa dini wakajifunza na kuelewa juu ya mambo mbalimbali kabla ya kujiingiza kwenye utoaji wa maelekezo ambayo badala ya kuisaidia Jamii yanaipotosha. Halikadhalika, Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa makundi mbalimbali kwenye Jamii yalikuwa na mahitaji yao ambayo walitaka yawemo kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini si kila hitaji lilifanikiwa kuingizwa. Alisema kuwa hata Chama Cha Mapinduzi kilikuwa na mambo zaidi ya 60 iliyotaka yaingie kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini mambo ambayo yalifanikiwa Kuingia ni 12 tu.

Alichokisema katika sauti https://www.hulkshare.com/tagco/hotuba-ya-rais-jakaya-kikwete-wakati-wa-mazungumzo-na-kamati

Sasa hapa kisichoeleweka nini? Watu wanavamiana tu bila sababu.
 
[QUOTE=kahtaan;
wee wa makaburini, nyie walahi ni makafir wabaya tu! ukiguswa makalio upo takbir.. uislamu umekamilika..
 
Heshima kwa jamii..... Be Flexible !! Presha za nini wakati mkitulizana mtaelewana ?
Utaifa Kwanza na uzalendo mbele!
 
Tarehe 28 Machi, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini zote mbili Ukristo na Uislamu, katika mkutano wa Kamati ya Amani Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, uliopo Posta Dar es Salaam alitoa hotuba ya ufafanuzi kuhusu Mahakama ya Kadhi kwa kusema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi. Rais Kikwete alisema kuwa Serikali haianzishi mahakama ya Kadhi bali inaupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria mbalimbali Bungeni (Miscellenous Amedments) ambamo ndani yake pamoja na Sheria nyingine ipo pia Sheria inayohusu Uhuru wa kuabudu ya mwaka 1964 ambayo ndani yake ndimo Kadhi amezungumziwa. Lengo la muswada huo ni kutaka kuitambua Kadhi ambaye miaka ya nyuma alikuwa anatambulika kisheria na kwamba alikuwa na mamlaka katika mambo yanayohusiana na ndoa, wakfu na mirathi lakini lilipotokea suala la kijinai, kosa hilo lilikuwa likiamriwa katika mahakama za kawaida. Alisema kuwa kwa kawaida Sheria hutungwa kutokana na mahitaji wa kijamii na kwamba Muswada unaopelekwa bungeni unapelekwa kwa lengo la kuangalia muundo na utendaji wa mahakama ya Kadhi hauvuki mipaka yake kiutendaji. Alisema kuwa hata Sheria ya ndoa ya mwaka ya mwaka 1971 in.azitambua ndoa zilizofungwa kanisani na msikitini kwa kufuata misingi ya dini hizo. Alisema hakuna jambo jipya katika mchakato wa kupeleka muswada wa marekebisho ya Sheria bungeni tofauti na watu wanavyopotosha kuwa Serikali imevunja taratibu. Alisema kuwa haoni haja ya suala hilo kuhusishwa na Katiba Inayopendekezwa hadi kufikia hatua ya Viongozi wa kidini kutoa maelekezo ambayo yanalenga kushawishi Jamii ipige Kura ya Hapana. Aliwataka maaskofu na Watanzania wengine wajiimarishe kiufahamu kuhusiana na mahakama ya Kadhi kuliko kusambaza taarifa za upotoshaji. Rais alitoa pia msimamo wa Serikali ni kuwa ni a)Serikali haitaanzisha mahakama ya Kadhi bali itapeleka Bungeni Sheria ambayo iwapo Waislamu wataamua kuanzisha Mahakama ya Kadhi itasimamia mahakama hizo ziweze kufanya kazi bila kukiuka misingi na taratibu. b)Serikali haitagharamia uendeshaji wa Mahakama za Kadhi na badala yake Waislamu wenyewe watajua namna ambavyo watapata hela za kuendesha mahakama hiyo. Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa Sheria zinazotungwa na Serikali zinawekwa ili kuwasaidia wananchi walio katika makundi mbalimbali waishi vizuri kwa kuelewana hivyo ni vyema Viongozi wa dini wakajifunza na kuelewa juu ya mambo mbalimbali kabla ya kujiingiza kwenye utoaji wa maelekezo ambayo badala ya kuisaidia Jamii yanaipotosha. Halikadhalika, Rais aliwataka Watanzania waelewe kuwa makundi mbalimbali kwenye Jamii yalikuwa na mahitaji yao ambayo walitaka yawemo kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini si kila hitaji lilifanikiwa kuingizwa. Alisema kuwa hata Chama Cha Mapinduzi kilikuwa na mambo zaidi ya 60 iliyotaka yaingie kwenye Katiba Inayopendekezwa lakini mambo ambayo yalifanikiwa Kuingia ni 12 tu.

Ukitaka kumsikia Rais bonyeza link hii:

https://www.hulkshare.com/tagco/hotuba-ya-rais-jakaya-kikwete-wakati-wa-mazungumzo-na-kamati

Sasa hapa kisichoeleweka nini? Watu wanavamiana tu bila sababu.

Jamani jamani watanzania tuwe makini na wanasiasa si watu wema kabisa husuni huyu Rais wetu anamameno matamu na ya kimafumbo lakini si afya kwa wananchi, mfano mdogo tu kwenye hiyo hutuba yaje hapo juu kwenye RED unaelewaje? hebu angalia maana ya hayo maneno na kinachotokea bungeni!! Hivi kusema neno "Iwapo Waisilamu wataamua kuanzisha" na sio "Iwapo wabunge wataamua kuanzisha" wakati mwazo kasema mswaada utapelekwa bungeni sasa nani hapo aneyeamua kuazisha hiyo mahakama ya Kadhi je ni Waislamu au Wabunge......Changa la macho hilo jamani.
 
quote kahtan; kama uislamu umekamilika kwa nini mnawaomba makafir wawape qadi? mburula akbar alisahau kuwapa eeh!?
 
Back
Top Bottom