Rais Kikwete safarini Marekani

 
wewe pimbi nini, hizo pesa zimeletwa halafu zikapelekwa wapi?

Kwani pimbi hapumui? Safari hizo kama hazina tija katika kuinua uchumi wa TZ, yaani ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya;
Umechukua hatua gani? Wenzako kule Misri waliacha nyumba, kazi, anasa na kila kitu na kushinda barabarani hadi kieleweke!
Kama kweli safari hizi hazina tija kwa nchi hii na wewe bado unajificha nyuma ya PC yako na kutukana watu; basi lazima utakuwa PIMBI!
 

Hapa tatizo sio kwenda Ulaya, tatizo ni nani anagharimia hizo safari! kama JK ameenda kwa pesa zake za mfukoni hapo sawa, but kama anatumia pesa za walipakodi kuzurura ulimwengu mzima bila sababu, basi hapo lazima achukiwe!

Pengine anaweza akawa na haki ya kutibiwa kama Rais, but kutokana na tabia yake ya kuzurura zurura ulimwengu mzima basi anaonekana mzururaji hata kwenye hili! anapaswa kujirekebisha mr JK!
 
haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
hivi mpendwa wetu karejea!?

 
haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
Comment ya mdau:
We were told that he's ill,so he left the country 4 medication.sasa misele hii tena imetoka wap?
United National secretary general Ban Ki Moon welcomes President Jakaya Kikwete at his office at the UN headquarters in New York on Tuesday. The two leaders discussed the contribution of Tanzania in peacekeeping. Tanzania has a peacekeeping mission in Darfur in Sudan, Lebanon and Goma in the Democratic Republic of Congo. PHOTO|STATE HOUSE
Source



 
hivi mpendwa wetu karejea!?


Taarifa zilizopo ni kwamba akiwa angani kurejea nchini leo, amepata dharura ya kuunganisha Reo de Janeiro- Brazil kuhudhuria mkutano wa mawaziri wa kilimo duniani. Mkutano utaanza Januari 2 na utakuwa wa wiki moja. Rais atarejea Januari 10 nchini. Kwa hiyo tuombe tu hiyo tarehe asipate dharura tena maana nime-mmiss sana jamani rais wetu mpendwa baba mwanaAsha.
 
"Ufisadi,ubinafsi,ukabilaaa kuuza sura hawataki kuuza sera,undugu ni kufaana sitasimama maovu yakitawala"
 

mkuu , usihangaike na mizimu .
 

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Almanusura unipasue mbavu !
 
Tulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.
Presidaa ni noma yaniakisafiri anachukua bilioni 12 mabenki eti raisi anaenda nje dah 2015 nadhani tutakuwa tumefirisika , mwaka 2012 government debt ilikuwa 23 trillion , kwa expenditure kama hizi sijui litakuwa limefika kiasi gani jamaa boga sana tulikosea sana kumchagua
 
Je inawezekana katika hiyo misafara yake isiyokwisha huwa anaongozana na PUNDA? Waswahili wanasema katika msafara wa mamba na kenge wamo!!!
 
Tatizo wengi hamjapanda ndege mkipanda mtaona kawaida
 
Tushukuru pamoja na ugonjwa lakini anachapa kazi kwa kufukuza mawaziri, njia nyeuope kwa Migiro sasa
Ugonjwa wapi? anakula raha zake tu. Huyo kijana anaitwa Miraji....ndo anaendesha kila kitu akiwa huko New York
 

Attachments

  • jk2.jpg
    83.3 KB · Views: 98
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.

Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini


Huyu anataka kuonekana na kuzamia mikutano ya Raisi Samia sasa hataki kuachwa na katafuta safari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…