JohnQcarney
Member
- Jul 10, 2012
- 14
- 3
Weird comparison ...:wacko:Ni haki yake kuhudhuria mazishi ya kiongozi mwenzake! Mbona sisi tunahudhuria za ndugu zetu hatuulizana!
sasa jamani sio kwamba kila safari ya raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati mwl jk alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!
Lakini jamani, kuzikana ni sehemu ya desturi ya ubinadamu. isitoshe, kiongozi wa juu kama JMills cdhani kama kuna ubaya kuhudhuria mazishi. Zika wenzanko na kwako watakuja. RIP J Mills.
Teh teh ama hakika thatha unafurahisha mi sijakosoa yeye kwenda msibani hii ni utamaduni wetu, tatizo ni kuwa hii kwake huwa ni golden chance maana hatulii huyu bwana...Sina maana hiyo unayoifikiria nduguLazima aende kwa vile naye siku akifa watakuja watu kama hao , siyo kama wewe hata Mshenga wako mwenyewe ataona kama hakuna umuhimu kwa vile ulishawachosha uswazi kwenu kwa majungu.
Haoni mwenzake obama anamuachia clinton hiyo kazi na yeye angemuachia membe ili na yeye apate experience. Yaani ata attend misiba ya viongozi wote wa africa?!! Huo ni ulimbukeni