Mama Porojo aje hapa maana anabisha sana kuwa mheshimiwa hayuko ethiopia
Hivi waziri wa fedha au wa viwanda na biashara hawana sifa za kuhudhuria mkutano huo?
Kiganyi, naomba uniweke sawa. Hivi leo ni April 9 2012 au Mei 9 2012?
Inawezekana kalenda yetu na ya Ethiopia inapishana kwa mwezi mmoja?...
Kiganyi, naomba uniweke sawa. Hivi leo ni April 9 2012 au Mei 9 2012?
Inawezekana kalenda yetu na ya Ethiopia inapishana kwa mwezi mmoja?...
Si mmesema kuna mkutano wa dharura dodoma huku mmeanzisha uzi mwingine wa kwenda ethiopia anajigawa vip
Siamini!JK naskia yupo Ethiopia... TBC One inaripoti muda huu
Hauna faida yeyote kwani ulivyofanyika hapa ulituongezea nini? hata kama kuna faida uliyoleta si ndio hizohizo mnaiba wezi wakubwa
Ingekuwa JK hajaalikwa kwenye huu mkutano kauli zingekuwa zingine.....kazi yake kukaa jikoni.......hakualikwa manake hana jipya......Rais gani asiyetoka kuongea na wenzake, mbona Kagame na Mu7 wamealikwa....bla bla bla bal.
Akitoka shida, akibaki au kumtuma msaidizi pia shida.
Any way, ndo comments za Great Thinkers wetu ktk JF.