Kidudu Mtu
Member
- Nov 7, 2009
- 64
- 0
Ukisikia utapeli wa kisiasa ndio huo, uma puliza, nenda zako; kazi kugombanisha watu badala ya ku-address the real problem. Ipo siku watanzania watawashtukia na kuwasuta!
we Kitila ushakuwa politician mzee, from Daruso to "na apana ahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa!
.Ukisikia utapeli wa kisiasa ndio huo, uma puliza, nenda zako; kazi kugombanisha watu badala ya ku-address the real problem. Ipo siku watanzania watawashtukia na kuwasuta!
Ukisikia utapeli wa kisiasa ndio huo, uma puliza, nenda zako; kazi kugombanisha watu badala ya ku-address the real problem. Ipo siku watanzania watawashtukia na kuwasuta!
Mimi kwangu namuona Rais anafaa kuongoza…bali tunapaswa tumuondolee baadhi ya watu wanaomchafua," alisema Dk. Mwakyembe huku akiwataka watu wasimfikirie vibaya anapotoa hoja zake kuwa ni mbwembe bali anajiamini kutokana na elimu aliyonayo na hivyo anajivuna.
........Alisema kuwa wananchi kwa ujumla wanapaswa kumsaidia Rais Kikwete katika mapambano ya ufisadi na vitendo vingine viovu katika jamii ili nchi ipige hatua za maendeleo........
Nilishasema siku nyingi hapa, Mwakyembe ni msanii tu, tena ni bora akazuiwa na kuumbuliwa mapema kabla hajafikia ukomo wa ambitions zake.
Inafurahisha kuona jinsi watu wanavyohamaki kwa kuzikiliza muziki wasio upenda!
Si kila aliyesoma kama Mwakyembe ana uwezo kuweka mambo sawa kwa mapana yake, hivyo Mwakyembe kuringa kwa elimu aliyonayo ni bure tu. Kwenye tume alionyesha ubora, lakini umepita muda kidogo tu tayari kesha onyesha weakness yake.
Eti Mwakyembe anasema yeyote JK aweza kua raisi mzuri ili mradi ukimwondolea wanaomchafua. Kwani uliyemzuia JK kuondoa wanaomchafua ni nani.