Kulikuwa na uzinduzi wa miradi mikubwa miwili ya maji. Moja ni Pawaga unaomilikiwa na dhehebu la dini. Lutherani. Kama kiongozi wa nchi alialikwa na wizara ya maji...
Umefikiri hayo uliyoandika au umekurupuka. Walutheri wajenge mradi maji, Wizara ya Maji imualike kufungua?!
Kama alialikwa basi ni Walutheri wenyewe ndiyo waliomualika na sio Wizara ya Maji, hapo haina chao. Kama wizara ya maji wanataka kumualika wajenge nao miradi yao wamualike.