Rais Kikwete kustaafu rasmi Novemba 5, 2015

Rais Kikwete kustaafu rasmi Novemba 5, 2015

hiyo aibu umetiwa peke yako. wengine tunam-rank kama rais bora kuliko watangulizi wake wote. hatujui tu ajaye kama ataweza kumfunika. pole.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Namtakia maisha mema huko aendako. Tunataka Rais hatokuwa anachekacheka jukwaani. Kuna mzee m1 aliwahi kusema Tz ilipofikia kwa sasahivi angalau tungempata Dikteta.
 
Namtakia maisha mema huko aendako. Tunataka Rais hatokuwa anachekacheka jukwaani. Kuna mzee m1 aliwahi kusema Tz ilipofikia kwa sasahivi angalau tungempata Dikteta.
Ni kweli tulihitaji rais dikteta atakae push maendeleo mbele.

But it's very unfortunately tumepata dikteta uchwara anaeharibu mazuri waliofanya waliomtangulia.

Tumelamba galasa watz
 
Back
Top Bottom