assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.
mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.
1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi
2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.
3.ALIPIGANIA USTAWI
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza
4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya
5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.
bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.
let us discuss ideas and issues not people.
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
rudia kauli hii baada ya miaka 2,utanambiaTatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
Hakuna rais atamfunika jk,that is for sure
Mlizoea vya kunyonga sasa jipangeni!Hakuna rais atamfunika jk,that is for sure
if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!