assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #41
Ktk hayo yote uloyasema JK alifanikiwa lip? Mbona kila jambo alipata Zero ni rais ambaye aliongoza kufeli ktk mambo yke
that is anger not reality.
Ktk hayo yote uloyasema JK alifanikiwa lip? Mbona kila jambo alipata Zero ni rais ambaye aliongoza kufeli ktk mambo yke
if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!
Rais wetu Dr Magufuli ondoa kinga ya rais aliyestaafu ili Kikwete akamwone shakhe Ponda na hao akina Mramba
wewe acha kuwa mbumbu huwezi linganisha kasi ya magufli na uzalendo kwa nchinyake na huyo unayemtaja, amefilisi nchi sana, mkapa na yeye lazima wachukuliwe hatua za matumizi mabaya ya madarakaukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.
mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.
1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi
2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.
3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.
4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya
5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.
bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.
let us discuss ideas and issues not people.
Sasa ni zamu ya kufanya kazi, mambo ya selfie, keki za birthday, send off na reception ikulu, Kuzurura ughaibuni zimekwisha!! Bado Governor siku zake zinahesabika huwezi kuacha bureaude change zinazagaa mtaani kuliko idadi ya Barbershop!
if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.
mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.
1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi
2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.
3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.
4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya
5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.
bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.
let us discuss ideas and issues not people.
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.
1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?
2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?
3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?
4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?
5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??
hahahahahaha...! kicheko hadi kichomi
Kweni mangapi umeifanyia familia yako mabaya bila ridhaa yao?na pengine umekwenda wrong bila wewe kujua lakini mwisho wa siku unakuja tambua kua ulichemka,JK siyo wa kulaumiwa kiviiilee! Kumbuka amedumisha amani pia naweza sema,kule kucheka kwake kumetusaidia,fikilia maneno mabaya juu yake yalokua yanasemwa na wapinzani hadharani hata kama ni ya kweli,nani anaweza kuyasema kwa akina Museveni,Nkulunzinza au Kagame?wangeshafichwa na usingewaona kipindi hk cha siasa zilizopita,lakini kwa JK kwa moyo wake usiokua na bifu na masifa ya kua yeye ndo rais alikua akipuuza maneno yote ya kejeli na kuwatazama tu,hiyo ni kutaka watu wakae kwa amani,yapo mabaya ktk uongozi wake kwa sababu amekua akiongoza watu na siyo miti,lakini pia mazuri ni mengi.