Rais Kikwete, i swear hakunaga!

Rais Kikwete, i swear hakunaga!

Wewe unamind za kudini kweli kweli maana mleta maada hajagusia hilo wewe umelisema.
Japo najua kila mtu ni mhim kwa wakati maalum na tukio maalum, kwa maana hii kuna vitu huenda alifanya vzr but vibaya naviona vingi sana so na conclude kwa kusema mazr yalikuwa majukum yake lkn hayo mabaya alijiongezea mwenyewe

Kuna kitu kinaitwa connecting the dots, and is just what I did. Fuatilia threads za mleta mada utajua kwa nn nimesema hivyo.
 
Any way probably, but Niko against sana na mind hizi na huwa na mdharau sana mtu mwenye fikira hizi
 
Eheeeeeee, uuuuwiiii.., sisi tunaombea sheria ya kutomshitaki rais ifutwe wewe unaleta ushabiki. Jk kamtajiridha mwanae kwa influence ya Ikulu. This is abuse of power.
Hakuna rais atamfunika jk,that is for sure
 
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.

mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.

1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi

2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.

3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.

4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya

5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.

bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.

let us discuss ideas and issues not people.

Peleka ujinga huko. Hayo makontena 349 yalitolewa kipindi gani? Hamia msoga na wewe.
 
Hapo namba 4,Ni kweli kma angeweza kusimamia katiba na maoni Yale yaliyosimamiwa na judge warioba hakika ningemheshimu kikwete maisha yangu yte,kuacha ccm waichakachue ile katiba huku pesa iliyotumika n kubwa,ntamdharau hadi naingia kaburini....
 
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.

mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.

1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi

2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.

3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.

4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya

5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.

bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.

let us discuss ideas and issues not people.

Utaisoma namba mwaka huu.
Naona umekamatika kishenzi, mlizoea eeee?

Wewe si ajabu ulikuwa unafaidika sana na halo mambo na si ajabu ulikuwa unalizuia jipu lisiive.

Namtakoma.

Changia kuhusu upotevu wa containers 349 usilete utumbo hapa.

CC. Faisa Fogisi
 
JMK na JPJM wote ni CCM, mwanzisha thread wewe ni mnazi wa CCM sasa unapoanza kuwacompare hao wawili au unapoanza kumsifia mmojawapo tukueleweje? Au ndio inatimia ile kauli ya JKN(RIP) aliyesema dhambi ya ubaguzi mbaya, mmewatenga ukawa sasa mnaanza kutengana wenyewe?

Kwani ukifanya comparison ndo umebagua?? Unajua maana ya ubaguzi? Wacha kujishushia hadhi wewe nyumbu
 
Rais wetu Dr Magufuli ondoa kinga ya rais aliyestaafu ili Kikwete akamwone shakhe Ponda na hao akina Mramba
 
if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!

Punguza hasira jombaa
 
Kuna msemo wajanja husema,kusoma,hujui,sio makosa yako,Wenda swala ni ada,hata na picha pia udhindwe kuelewa kuwa zinamaanisha nn!!kulingana ni hii ilivyopendelewa na Mungu!!kila kitu tunacho,.Lakin sasa angalia uchumi wetu!!angalia gape lililopo kati ya wenye nacho na wasio nacho!!in short,badala ya kuwa na madaraja matatu ya income,sie tuna madaraja mawili tu!!!first class third class,second haipo!!!Oooooo God,alafu mtu anakuja hapa et asiyeona sijui nn!!!!shame on this kind of individuals!!!bt tumuombe Mungu kupitia bwana JPM,Wenda tukarudi njiani.
 
Mleta mada umetumwa na nani kuandika uharo huu???
 
mwenyekiti mwenza ukawa asimsahau kikwete ndio amemboost Leo ni mbunge vunjo. kweli shukran ya punda ni mateke.
 
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.

mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.

1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi

2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.

3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.

4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya

5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.

bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.

let us discuss ideas and issues not people.

Akili yako ni ndogo wafaa kupopolewa mawe.unayemsifia ni mwizi kama hujui subiri utajua tuu
 
haaa!!! ivi wewe ni mtu hai au mzimu???unaongea madudu gan hapa?? laana inayo ztnguka juu ya taifa imetokana na ilo robot alafu unazungumza utumbo???shame on u,umasi mkubwa pamoja na lasilima 2lizo nazo mikataba mibovu

wachaga nchi hii mtaiharibu,ndio umejibu hoja hapa.
 
hakika makundi ndani ya ccm yanaanaza upyaaa!!! ndo maana nilwahi esma naiona UKAWA ndani ya ccm wenye akili ndogo kama assadsyria3 na DuppyConqueror hawawezi nieleawa
 
Ktk hayo yote uloyasema JK alifanikiwa lip? Mbona kila jambo alipata Zero ni rais ambaye aliongoza kufeli ktk mambo yke
 
Back
Top Bottom