Rais Kikwete asamehe wafungwa 1475

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Raisi wa jamhuhuri ya muungano wa tanzania amewasamehe wafungwa wapatao 1475, msamaha uo hautahusisha wote wanaokabiliwa na kesi za kubaka na kunajisi,kesi za madawa ya kulevya na matumizi mabaya ya madaraka..
 
Vipi, mzee Nguza Viking na mwanae Papii Kocha hawamo kati ya hao!?
 
Vipi, mzee Nguza Viking na mwanae Papii Kocha hawamo kati ya hao!?
Sijui kama umesoma aliposema haihusiki na kesi za kubaka....

Jamaa wanasikitisha kweli kukaa jela kama hawakubaka basi moyo utakua unaumia daily, ila kama walibaka ni fundisho kwa wengi wanaobaka watoto maana sipati picha niwe na mtoto afu abakwe na watu wazima vile, itanichanganya sana akili...
 
Nikikumbuka kaul ya jk ya kutolipiza kisasi nikalinganisha na kesi ya papii kocha, Nguza viking naona unafik wa hali y juu kwa jk.
 
Nikikumbuka kaul ya jk ya kutolipiza kisasi nikalinganisha na kesi ya papii kocha, Nguza viking naona unafik wa hali y juu kwa jk.


Naomba kueleweshwa: JK anahusika vipi na kesi hii ya PAPII KOCHA????
 
unayesema eti JK awaachie Nguza na mwanae wakati Mahakama za chini hadi za mwisho kabisa ziliwaona wanahatia, unamaana gani? Mbona huwazungumzii wafungwa wengine waliohukumiwa kwa makosa ya kubaka na kutaka waachiwe? Ulitaka wakubake wewe au mkeo ndio uamini kwamba walibaka? JK analipiza nini au anahusikaje na kufungwa kwao?. msiwe mnaleta matapishi na mimavi humu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom