Rais Kikwete apigiwa Simu ya Dharura arejee Ofisini

Status
Not open for further replies.
Naona sasa twaligeuza hili jukwa kuwa jukwa la kujifurahisha. Mbona Raisin akiwa njee kila siku anapigiwa simu, na ilikuwa inajulikana kuwa lowasa atakwenda Chadema kwa WACHAGA wenzake
 
Lowasa ana mjuwa vyema kikwete na kama hamuamini lowasa ajaribu kuongea chochote wakati huu kama kweli anauchungu wa kukatwa bila sababu.

hawez kumfanya chochote manvi. ataigawa nchi vipande kama unavyoiona pemba na unguja. atulize akili wala ackurupuke asababishe huo mgawanyo. mi nilifikiri kosa moja kubwa alilofanya Kikwete ni kuruhusu vijana wa ccm pwani kusema Rais hatoki kaskazini halafu kuwatuma Akina nape na makonda kumtukana Lowassa. hakufanya fairy kwa kweli
 
Viroba vina madhara makubwa sana kwa afya ya ubongo

Viroba serikali ya CCM imeruhusu vinauzwa kila mahali mpaka maduka ya chakula. Lengo ni kuwapumbaza vijana taifa la leo. Vinaendelea kuuzwa halafu mnaangaliaa tu. Unaposemea Viroba hapo unasemea udhaifu wa serikali ya CCM na sasa ni lazima iondoke ili tujenge taifa upya. Shame shame over Shame the CCM Government. Inauma sana vijana kila mahali wameishia kuwa walevi mchana wazi na serikali haichukui tahadhari, hadi nguvu za kiume hawana tena, Shetani na mzimu CCM ng'ooka kama shina la mhogo. Wana JF mtajua ninachokisema hapa kama umekutana na kundi la vijana hasa vijijini hawana akili tena ni viroba tu, tunaangamia, Irresponbible Government.
 
Dah! Ka kipi kituhangaishe? Lowasa kakatwa basi. Tunajiandaa na kampeni

Mdharau mwiba mguu huota tende.Chondechonde na uroho wenu wa madaraka,mkishindwa kwenye uchaguzi msigome kukabidhi serikali. Nepi alishasema mtafunga goli la mkono, tafadhali tuachieni nchi yetu. Ccm ndio itakayoleta vita hapa tanzania, na ukiangalia hali halisi Jakaya amekwisha anza maandalizi ya goli la mkono.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom