mungu mkubwa wote waliokuja na silogani ya nchi haitatawalika. Sasa wanaona aibu kila kona wanayopita, sasa wamebaki kulalama na katiba mpya, katiba ambayo wenyewe waliichekelea pale ikukummheshimiwa alipowapa nafasi ya kuwasikiliza.Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete anastahili sifa,mimi kama Mtanzania nampa pongezi rais Kikwete kwa kuongoza nchi katika hali ya amani na utulivu.Kuna waliosema mheshimiwa rais hatoboi 2015 yaani angekuwa amengatuka mapema,baada ya kumtuhumu kuwa mambo mengi ameyafumbia macho.Unajua nchi haiongozwi kwa jinsi tunavyotaka sisi.Kiukweli nchi ilifika mahali iliyumba ila mwanaume wa shoka rais kikwete alituliza akili zake akafumua uongozi mambo yakaenda shwari.Wapo waliomuombea mabaya ila raisi hakuwajali sana alijitahidi mpaka hapa tulipofika.Imebakia miaka 2 tu akamilishe safari ngumu na nzito,basi mimi nimeona nimtakie kazi njema na yenye mafanikio.Kiukweli anastahili sifa.
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete anastahili sifa,mimi kama Mtanzania nampa pongezi rais Kikwete kwa kuongoza nchi katika hali ya amani na utulivu.Kuna waliosema mheshimiwa rais hatoboi 2015 yaani angekuwa amengatuka mapema,baada ya kumtuhumu kuwa mambo mengi ameyafumbia macho.Unajua nchi haiongozwi kwa jinsi tunavyotaka sisi.Kiukweli nchi ilifika mahali iliyumba ila mwanaume wa shoka rais kikwete alituliza akili zake akafumua uongozi mambo yakaenda shwari.Wapo waliomuombea mabaya ila raisi hakuwajali sana alijitahidi mpaka hapa tulipofika.Imebakia miaka 2 tu akamilishe safari ngumu na nzito,basi mimi nimeona nimtakie kazi njema na yenye mafanikio.Kiukweli anastahili sifa.
Kati ya marais Tanzania...ameharib Taifa, ushahid wa Lema ndio utakuelewesha
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete anastahili sifa,mimi kama Mtanzania nampa pongezi rais Kikwete kwa kuongoza nchi katika hali ya amani na utulivu.
Kuna waliosema mheshimiwa rais hatoboi 2015 yaani angekuwa amengatuka mapema,baada ya kumtuhumu kuwa mambo mengi ameyafumbia macho.
Unajua nchi haiongozwi kwa jinsi tunavyotaka sisi.Kiukweli nchi ilifika mahali iliyumba ila mwanaume wa shoka rais kikwete alituliza akili zake akafumua uongozi mambo yakaenda shwari.
Wapo waliomuombea mabaya ila rais hakuwajali sana alijitahidi mpaka hapa tulipofika.
Imebakia miaka 2 tu akamilishe safari ngumu na nzito,basi mimi nimeona nimtakie kazi njema na yenye mafanikio,kiukweli anastahili sifa.
Sema kipenzi chako sio watanzania...Mungu akuzidishie Maarifa na umri mkubwa Rais kipenzi cha Watanzania