Simiyu hata kama unaipenda ccm kuliko unavojipenda mwenyewe jitahidi kukiri ukweli kwamba hii nchi ipo hapa tulipo kwa sababu ya ccm.
Wizi,rushwa,na udhaifu uliotamalaki ndani ya chama umeingia serikalini,ahadi nyingi za viongoz hazitekelezeki kwa sababu fedha za umma zinaibwa kiholela huku mwenyekt wa chama na rais wa nchi anacheka.
Ccm ni wakali mno kuona wapinzani wakifanya siasa kwa sababu wanajua hakuna cha maana walichokifanya,miaka hamsini baada ya uhuru tunajivunia mipango mikakati,mtandao wa barabara,shule za kata ambazo hakuna fedha toka serikalini zinazosaidia ujenzi zaid ya nguvu za wananchi.
Simiyu na wenzako jaribu kutumia akili zenu badala ya kuweka itikadi mbele mnachefua!