Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
chuo kikuu kila mkoa? Mbna ruvuma hatuna? Hatuna hosptali ya rufaa,barabara toka masasi had namtmbo ni vumbi sasa hvyo vtu kajenga wapi?chuo kikuu kila mkoa, hospitali ya rufaa kila mkoa
daah!! you have drive your fingers in my feelings!!
Mkuu kama viongozi wa kisiasa wote wangekuwa kama jk taifa hili lingepiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo,
Jk amekuwa kimbilio la kila mtu na kila kundi kwa kweli mfanowe hakuna,
chuo kikuu kila mkoa? Mbna ruvuma hatuna? Hatuna hosptali ya rufaa,barabara toka masasi had namtmbo ni vumbi sasa hvyo vtu kajenga wapi?
Uwongo mwngne wa asubuh!
Kwa sababu ulikuwa miongoni mwao.Sijug kwa nini nimeikumbuka ghafla familia ya Babu Seya..!?
Magamba at work!.....yametuwahi asubuhi na mapema coz tunamalizia usingizi wa rikizo ya Nyerere day,tumeamka sasa...... eti mnasema KIKWETE kafanyeje?tarudi baadae kidogo
Baba v,We jomba huwajui ccm wewe.. wana akili za kipekee sana. Hapa mmoja wao anaweza akaibuka na hoja kuwa Somalia ni mkoa wa Tanzania na wakaanza kusaidiana kuteteana. Hapo watakukonvisi tu kuwa Ruvuma kuna Chuo kikuu tena cha serikali hata kama wewe hujakiona. we subiri..
Mkuu kwa mengine yote inaweza kuwa sawa!Muulize Professor Mukandala yule aliyewahi Vice Chancellor of University of Dar es salaam atakuambia kama JK ana ubinadam au hana.Kabla hujamalizana na Mukandala mtafute yule Mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya Kiarabu aitwae Merey Balhabou aliyewahi kuwa mmiliki wa Moro United nini kilimpata,Nasikia pia yule aliyewahi kuwa mwanamuziki maarufu hapa Nchini ambaye kwasasa yeye na familia yake anasota jela ni baadhi ya wahanga wa visasi vya Tate Kulu(Mkulu) na orodha bado ni ndefu.......................
Kwa sababu ulikuwa miongoni mwao.
Kwa vile alikuwa anatoka kwenye ukoo wenu utakuwa na majibu mazuri mkuu.Hivi yule mmama aliyepelekea hadi mwenyekiti akafungilia mbali familia nzima bado "nkulu" anaendelea nae!??
Baba v,
huu uongo umeanza lini mbona huko nyuma hukuwa hivi siku hizi umekuwaje unakuwa muongo zaidi hata ya Lisu unakwenda kupotea kabisa.
Kwa vile alikuwa anatoka kwenye ukoo wenu utakuwa na majibu mazuri mkuu.
Hii hoja ya kibavicha,Magamba at work!.....yametuwahi asubuhi na mapema coz tunamalizia usingizi wa rikizo ya Nyerere day,tumeamka sasa...... eti mnasema KIKWETE kafanyeje?tarudi baadae kidogo
Mimi najua unafahamu vema kwani ni miongoni mwa wanafamilia hiyo.Nilidhani unafahamu kila kitu kuhusu baba mwenyekiti kumbe mengine huyajui.. ooh tate nane..
Laana ikurudie ww kwackuwalaani wabunge wa chama tawala ambao wako pale kukutetea ww mtanzania maskini.
Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
Jamaa kasema JK ana ubinaadamu sana nikakumbuka moja ya incidents za ubinaadamu wa hapa Tanzania.
. Ndugu acha kuwadanganya watanzania. Mf Kigoma na Tabora hakuna barabara ya lami inayotoka nje ya mkoa na kwa Kigoma hakuna hata tawi la St Augustin achana na chuo kikuu cha serikali. Nitendelea kuyakumbuka maneno ya Mnyika bungeni kuwa "tumefika hapa kwa.............!"Amejenga mtandao wa barabara za lami nchi nzima, shule za sekondari kila kata nchi nzima, chuo kikuu kila mkoa, hospitali ya rufaa kila mkoa na sasa anakuletea katiba mpya