Bado unaota. Subiri uamke upige na mswaki ndio uingie jfHa ha Kikwete ni sehemu ya bunge yeye na cacus ya CCM huwa wanaamua kitu kimoja wananchi wakicharuka anawaruka wenziwe kanzisha mishe mishe zake matokeo wabunge wa CCM wanaonekana mbayuwayu mbele ya umma umeambia JK kwa double face ndio menyewe humuwezi
Amejenga mtandao wa barabara za lami nchi nzima, shule za sekondari kila kata nchi nzima, chuo kikuu kila mkoa, hospitali ya rufaa kila mkoa na sasa anakuletea katiba mpyaSijaelewa vizuri hapa. Rais amefanya nini?
Kuna tetesi mpya?
Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
Laana ikurudie ww kwackuwalaani wabunge wa chama tawala ambao wako pale kukutetea ww mtanzania maskini.
Amejenga mtandao wa barabara za lami nchi nzima, shule za sekondari kila kata nchi nzima, chuo kikuu kila mkoa, hospitali ya rufaa kila mkoa na sasa anakuletea katiba mpya
Mkuu kama viongozi wa kisiasa wote wangekuwa kama jk taifa hili lingepiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo,
Jk amekuwa kimbilio la kila mtu na kila kundi kwa kweli mfanowe hakuna,
unahongwa wewe sio wote, ccm mkubwa we.Madhara ya kuamkia na bia za kuhongwa...
Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
daah!! you have drive your fingers in my feelings!!Sijug kwa nini nimeikumbuka ghafla familia ya Babu Seya..!?
Muulize Professor Mukandala yule aliyewahi Vice Chancellor of University of Dar es salaam atakuambia kama JK ana ubinadam au hana.Kabla hujamalizana na Mukandala mtafute yule Mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya Kiarabu aitwae Merey Balhabou aliyewahi kuwa mmiliki wa Moro United nini kilimpata,Nasikia pia yule aliyewahi kuwa mwanamuziki maarufu hapa Nchini ambaye kwasasa yeye na familia yake anasota jela ni baadhi ya wahanga wa visasi vya Tate Kulu(Mkulu) na orodha bado ni ndefu.......................
Hivi kwan Mukandala sio VC wa UDSM??
mmh!! yaelekea niko outdated sana siku hizi.................