Rais Kikwete amteua Justice Prof. Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu (AG) Mpya

Status
Not open for further replies.
No comment as i don't know him but i smell something fishy!
Alimsaidia prince kuendelea na masomo ya LLB baada ya ku-disco. Prof alikuwa mkuu wa kitivo cha sheria pale mlimani. So fadhila inaendelea kulipwa tangu kupewa u-justice na aa unasema anapewa u-AG.
 

ndugu yangu, hata huyu ataharibiwa na siasa kama alivyoharibiwa Prof Muhongo. chezea siasa wewe!
 
Hivi kweli hivyo vyanzo vinaweza kutoa siri kabla ya kutangzwa Huyo mwanasheria Mkuu basis hiyo nikali basi hakuna siri jumba kuu
 
Acha upuuzi...! AG aliyetoka pia alikuwa muislamu? Chuki bila logic, mkosoe kama unaona hafai kwa nafasi hiyo sio kwa dini yake.

JF imeingiliwa na kirusi kibaya cha udini.Imekuwa tabia ya wachangiaji kuvuruga hoja kwa kuingiza udini.Mwisho wake hujadiri dini badala ya hoja ya msingi.
 
Aiseeee huu udini mkubwa sana wa wazi nilikuwa sijaona, kumbe...eeehh...sasa i proved jamaa mdini wa kupindukia hafai kabisa...mmmmhhh..!!!

Waislam tunataka Waziri Mkuu muislam, Pinda, Lowasa, Sumai wote ni wakristo ni zamu ya muislamu sasa,
 
.........heeee!!!! kumbe unaongea huna takwimu!!!!! pole
 
Sio kwamba Jaji Werema alikuwa hajui sheria au alikuwa haelewi la hasha. ukiisaidia CCM lazima uwe mwehu na usahau maadili yote, elimu yako uikane uwe kama chizi mwisho utatolewa kwa aibu, Prof Juma namwonea huruma sana kwani atatakiwa kutetea utumbo na wizi na atafanya hivyo. ndipo msangao utakapompata akiitwa mwizi, na mhujumu na atakumbuka shuka JK kalala zake Msata na kiinua mgongo chake.
 
Nilichogundua hawa wenzetu wa upande wa pili, chrustians ni wadini kuliko nilivyofikiria, waislamu hatujawahi hoji kitu km hichi aslani. wateuliwa waliopita CAG, na AG walikua wakristo hakuna muislamu aliehoji kuhusu ili, sipati picha mkiwa wenyewe mnakua na chuki kiasi gani na Muslims.
 

kama ndivyo, basi hatuna AG bali tuna mlamba viatu vya wakubwa! huyu atakuwa AG wa hovyo hata kumzidi fisadi chenge.
 
Mdini maana yake nini?
Toa uthibitisho.


Confirmation..!!! watch out when u argue with me...JK MDINI SANA....

Proof..!! 1: Judge mkuu...Othman Chande...

2: Mkuu wa Usalama...Rashid Othman

3: C.A.G....... Prof. Assad

4: AG..... Prof Juma.

5: Makamu wa Rais Dr. Bilal

6: Wakuu wa Mikoa 75% waislam

7: Wakuu wa wilaya 70% waislam

8: Mabalozi huko usiseme...mostly Muslims


Wht else u want more...!!! shut up & fck off...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…