Tunakumbushia meli ulituahidi wakati wa Kampeni Mkuu.....acha sister ale bata ila sie meli mbadala wa MV Bukoba tunasubiria bado
Nadhani kwa CV yake ana sifa zote kushika hiyo nafasi. Sidhan kama kufanana kwa majina na waziri ndio iwe kigezo cha kumnyima hiyo kazi. Aidha, kumbuka walishindanishwa na wengine na huyo mama akaibuka mshindi then jina ndo likapelekwa kwa Rais kwa ajili ya kuhitimisha mchakato.huyu ndiye mama yake na waziri yule anayehusika na sheria pia Angela Kairuki??
mwendo wa kujuana juana tu!!
MONDAY, APRIL 22, 2013
MICHUZI
Kukiwa na tukio uwe unakwenda kupiga tete'a'tete naye na give him what you got. I mean CVs
umeona eeeeeeeee!! wawawacheeeeeeee na pumzi kuu!! sabal kheri bilionea la kihaya!!
Hivi ikiwa kila uteuzi utaangaliwa kwa lensi ya ukristo au uislamu wale ambao siyo wafuasi wa hizo dini mbili ina maana hawana haki nchi hii? Kuna mamilioni ya watanzania ambao hawafungamani na hizo dini mbili na wana haki sawa ndani ya nchi yao hii. Jambo jingine ambalo wengi hamlizingatii ni kuwa nchi hii siyo kila mwenye jina la John ni mkristo na siyo kila Juma ni mwislamu.
Sio dini muafaka, ila qualification muafaka. CV yake kwa upande wa elimu na kazi imewekwa walau in summary, ila ungewekwa na umri wake ingekuwa bora zaidi, kwani JK amekuwa akishutumiwa kuteua watu wanaokaribia kustaafu, halafu analazimika kuja kuwaongezea mikataba! Mkuu, kwa elimu hiyo na uzoefu huo unadhani hafai?...
Hapa kateuliwa mwenye dini "muafaka" hutasikia kelele wala kuulizwa "CV"
mmh! hivi bado uteuzi unaendelea?kila siku kuteua jamani? usisahau kurudia zile ziara zako za Wizarani ulizozifanya wakati umechaguliwa baada ya uchaguzi
Kama JK aliwateua hawa kwa kuwa ni wakristu, basi ni sahihi kabisa kusema JK ni mdini. Ila kama aliwateua kwa kuangalia sifa zao za elimu, utendaji mzuri na uadilifu, basi JK sio mdini na aendelee kuwateua wenye sifa hizo nzuri hata kama wote watakuwa ni wakristu!...JK mdini kweli kweli makatibu wakuu wote wakristo, mawaziri wengi wakristo, na manaibu waziri wengi wakristo sasa kila teuzi ya taasisi za serikali ni wakristo ANAPENDELEA SANA WAKRISTO JK. Hakuna waislamu wanaweza kuongoza hizo taasisi??
kweli kabisa angeteuliwa mwislamu hapa tayari kejeri na matusi yangeshajaa na keshoyake yangefuata matamko.Wako wapi wapiga kelele za udini? Naona toka apigwe mkwara na maaskofu kaamua kuwateua "wao" tu sometimes hizi blackmailing na mikwara mbuzi vinasaidia ku maintain "status quo".
Walau tutapumua kutoka kwenye "matamko"......
Kama JK aliwateua hawa kwa kuwa ni wakristu, basi ni sahihi kabisa kusema JK ni mdini. Ila kama aliwateua kwa kuangalia sifa zao za elimu, utendaji mzuri na uadilifu, basi JK sio mdini na aendelee kuwateua wenye sifa hizo nzuri hata kama wote watakuwa ni wakristu!
kweli kabisa angeteuliwa mwislamu hapa tayari kejeri na matusi yangeshajaa na keshoyake yangefuata matamko.