Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

huyu ndiye mama yake na waziri yule anayehusika na sheria pia Angela Kairuki??

mwendo wa kujuana juana tu!!
 
huyu ndiye mama yake na waziri yule anayehusika na sheria pia Angela Kairuki??

mwendo wa kujuana juana tu!!
Nadhani kwa CV yake ana sifa zote kushika hiyo nafasi. Sidhan kama kufanana kwa majina na waziri ndio iwe kigezo cha kumnyima hiyo kazi. Aidha, kumbuka walishindanishwa na wengine na huyo mama akaibuka mshindi then jina ndo likapelekwa kwa Rais kwa ajili ya kuhitimisha mchakato.

Katika hatua hizi za awali za uteuzi wake, si rahisi kujua kama ameteuliwa kwa vile ni Kairuki au la, hayo tutayajua pale atakapoanza kukiuka misingi ya kazi yake kwa maelekezo toka juu.
 
MONDAY, APRIL 22, 2013


viewer+(1).png

MICHUZI



Wanawake wanaweza wakiwezeshwa....Hongera Bi Juliet
 
Hivi ikiwa kila uteuzi utaangaliwa kwa lensi ya ukristo au uislamu wale ambao siyo wafuasi wa hizo dini mbili ina maana hawana haki nchi hii? Kuna mamilioni ya watanzania ambao hawafungamani na hizo dini mbili na wana haki sawa ndani ya nchi yao hii. Jambo jingine ambalo wengi hamlizingatii ni kuwa nchi hii siyo kila mwenye jina la John ni mkristo na siyo kila Juma ni mwislamu.

Kwani nyie ile nadharia yenu ya kipuuzi ya udini mnapolenga katika taasisi zinazoongozwa na waislamu huwa inaangaliwa kwa lensi gani kama sio ya waislamu? Juma Nkamia aliwajibu vizuri sana mshazoea nyie kuona akina john na Peter ndio wanaongoza taasisi, mna allergy na waislamu kuongoza. JK mdini kweli kweli makatibu wakuu wote wakristo, mawaziri wengi wakristo, na manaibu waziri wengi wakristo sasa kila teuzi ya taasisi za serikali ni wakristo ANAPENDELEA SANA WAKRISTO JK. Hakuna waislamu wanaweza kuongoza hizo taasisi??
 
...

Hapa kateuliwa mwenye dini "muafaka" hutasikia kelele wala kuulizwa "CV"
Sio dini muafaka, ila qualification muafaka. CV yake kwa upande wa elimu na kazi imewekwa walau in summary, ila ungewekwa na umri wake ingekuwa bora zaidi, kwani JK amekuwa akishutumiwa kuteua watu wanaokaribia kustaafu, halafu analazimika kuja kuwaongezea mikataba! Mkuu, kwa elimu hiyo na uzoefu huo unadhani hafai?
 
mmh! hivi bado uteuzi unaendelea?kila siku kuteua jamani? usisahau kurudia zile ziara zako za Wizarani ulizozifanya wakati umechaguliwa baada ya uchaguzi

Mkuu,
Uteuzi haukwepeki. Sasa watumishi wakistaafu ama kufariki asiteue?
 
Ya udini yamekujaje tena hapa? Kwani mkinyamaza tu haitoshi hadi mshirikishe wengine hisia zenu pofu? Tofauti za kidini hazijawahi kuwaacha watu salama mahala popote pale, chezeeni tu kwa vile mmejificha kwenye ID! Lakini hamtabaki salama. Mungu IBARIKI Tanzania, iondoe kwenye makucha ya waovu, bora tuendelee kubaki na umaskini wetu unatosha!!!
 
...JK mdini kweli kweli makatibu wakuu wote wakristo, mawaziri wengi wakristo, na manaibu waziri wengi wakristo sasa kila teuzi ya taasisi za serikali ni wakristo ANAPENDELEA SANA WAKRISTO JK. Hakuna waislamu wanaweza kuongoza hizo taasisi??
Kama JK aliwateua hawa kwa kuwa ni wakristu, basi ni sahihi kabisa kusema JK ni mdini. Ila kama aliwateua kwa kuangalia sifa zao za elimu, utendaji mzuri na uadilifu, basi JK sio mdini na aendelee kuwateua wenye sifa hizo nzuri hata kama wote watakuwa ni wakristu!
 
Wako wapi wapiga kelele za udini? Naona toka apigwe mkwara na maaskofu kaamua kuwateua "wao" tu sometimes hizi blackmailing na mikwara mbuzi vinasaidia ku maintain "status quo".

Walau tutapumua kutoka kwenye "matamko"......
kweli kabisa angeteuliwa mwislamu hapa tayari kejeri na matusi yangeshajaa na keshoyake yangefuata matamko.
 
Kama JK aliwateua hawa kwa kuwa ni wakristu, basi ni sahihi kabisa kusema JK ni mdini. Ila kama aliwateua kwa kuangalia sifa zao za elimu, utendaji mzuri na uadilifu, basi JK sio mdini na aendelee kuwateua wenye sifa hizo nzuri hata kama wote watakuwa ni wakristu!

Na je akiamua kuwateua wote waislamu mradi wana sifa stahiki mtaacha kupiga kelele? Kwenye nyekundu hapo sidhani kama utendaji na uadilifu vinapimwa mwanzoni na evidence proves otherwise, tangu uhuru hadi leo wakristo mmedominate nafasi nyingi za uongozi but kinachoopatikana kutoka kwenu ni ufisadi, nepotism na umaskini. Since independence mna lipi la kujivunia hadi sasa? Keshokutwa tunasherehekea miaka 50 ya kuzaliwa kwa taifa la Tanzania ila maendeleo yake hayaonekani hadi leo.
 
kweli kabisa angeteuliwa mwislamu hapa tayari kejeri na matusi yangeshajaa na keshoyake yangefuata matamko.

Tena hayo matamko yangeliongozwa na Maaskofu wao wakiongozwa na Pengo na wangelimblackmail JK ati ni mbaguzi, mdini, na anaushambulia ukristo na wakristo wako katika kipindi kigumu sanaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom