Rais Kikwete ampa somo lowassa

Rais Kikwete ampa somo lowassa

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
381
Reaction score
83
Wakati wa sherehe ya kumuaga Rais Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi, Rais kikwete alimpa somo Lowassa kwa kueleza kuwa mtu akiwa Waziri hapaswi kujisifia kuwa amelifanya jambo Fulani yeye binafsi katika nchi wakati Waziri hufanya kazi kwa niaba ya Rais.

Alitolea mfano huo alipokuwa anamsifia Waziri Pombe Magufuli ambaye pamoja na kazi nzuri ya ujenzi wa Barabara lakini wakati wote amekuwa hajisifii kuwa anafanya yeye binafsi.

Uchunguzi unaonesha kuwa Rais alikuwa anampa somo hilo Lowasa ambaye anajitapa kuwa alijenga UDOM wakati wazo hilo ni la JK mwenyewe binafsi wala halikuwa ktk ILANI YA CCM.
 
Acha ujinga wako...IQ ndogo haiwezi kuongoza IQ kubwa....kama nimetoa wazo na likakubalika na nikapewa kazi ya kulisimamia na likafanikiwa mm niliyesimamia ndiye napaswa kupongezwa.

Kwa nini hadi sasa tunampongeza Jenerali Twalipo?
 
yakiwa ni mambo mabaya anaambiwa yeye waziri ndio ameharibu na sio rais
lakini mambo mazuri ndo yamefanywa kwa niaba ya rais ....
 
Watu wa ccm mi nawashauri tu mkae mkao wa kushindwa. Wengi naona mnajaribu kutupa uzi mnadhani ndo mntawabadilisha ukawa lakini naona mnagonga tu mwamba. Alafu nyie ni watu wazima mambo ya kufanyia umbea kwenye vijembe wanavyovitoa viongozi wenu ndio mnazidi kujishushia heshima. Inaonekana kweli ccm haina sifa/vigezo vya kushinda safari hii.
 
Acha ujinga wako...IQ ndogo haiwezi kuongoza IQ kubwa....kama nimetoa wazo na likakubalika na nikapewa kazi ya kulisimamia na likafanikiwa mm niliyesimamia ndiye napaswa kupongezwa.

Kwa nini hadi sasa tunampongeza Jenerali Twalipo?

Sifa nzuri usifiwe si kujisifu
 
Wakati wa sherehe ya kumuaga Rais Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi, Rais kikwete alimpa somo Lowasa kwa kueleza kuwa mtu akiwa Waziri hapaswi kujisifia kuwa amelifanya jambo Fulani yeye binafsi katika nchi wakati Waziri hufanya kazi kwa niaba ya Rais. Alitolea mfano huo alipokuwa anamsifia Waziri Pombe Magufuli ambaye pamoja na kazi nzuri ya ujenzi wa Barabara lakini wakati wote amekuwa hajisifii kuwa anafanya yeye binafsi. Uchunguzi unaonesha kuwa Rais alikuwa anampa somo hilo Lowasa ambaye anajitapa kuwa alijenga UDOM wakati wazo hilo ni la JK mwenyewe binafsi wala halikuwa ktk ILANI YA CCM

wazo la cdm la kujenga chuo ddma
 
Acha ujinga wako...IQ ndogo haiwezi kuongoza IQ kubwa....kama nimetoa wazo na likakubalika na nikapewa kazi ya kulisimamia na likafanikiwa mm niliyesimamia ndiye napaswa kupongezwa.

Kwa nini hadi sasa tunampongeza Jenerali Twalipo?

Ndiyo utuambie Kamanda!
 
Haya na mpongeza mh rais kwa richmond,na mpongeza rais kwa escrow..
 
'Maelekezo kutoka ngazi za juu"
Verdict.
 
Jamani JAMAA ALISHAPATA KUSEMA ANAOMBA MSAMAHA KWA ALIOWAKOSEA.SO ENDELEENI KUMSAMEHE TU
 
bas na hyo pesa ya Richmond walikula wote kama ni hvyo!
yan maazur alfanya na Jk alafu mabaya alifanya mwenyewe
 
Hivi kikwete miaka kumi kafanya nini..tuongee subsyance kidogo
1.elimu imeshuka
2.afya usiseme mimi nipo huko najua(na mgomo mkubwa ulitokea wakate wake-ila bongolala ccm watakuwa wamesahau)
3.wizi na rushwa usiseme
4.katiba mpya kaikanyaga kanyaga( kazi kubwa ya warioba kaharibu ndani ya hotuba ya nusu saa-pole pole hakumbuki ati.?!)
5.wakulima sijui hata kama wapo tena
6. Uwajibikaji ofice za serekali zero
So umesema kikwete kampa somo lowasa somo gani hasa, labda mamna ya kuwa failure president
 
Somo gani? la kusafiri au? Lowassa haitaji kuishi angani na nje ya nchi! Laigwanan anatakiwa kukaa na wananchi na mifugo yake
 
Labada awahamishiwe Madakatari wake wa Ujerumani hapa nchini.

Somo gani? la kusafiri au? Lowassa haitaji kuishi angani na nje ya nchi! Laigwanan anatakiwa kukaa na wananchi na mifugo yake
 
Back
Top Bottom