SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
- Thread starter
- #21
Hao yote uliyaordhesha ndiyo kafanya vizuri saa akiazi na afya, elimu, miundo mbinu nk
Hivi kikwete miaka kumi kafanya nini..tuongee subsyance kidogo
1.elimu imeshuka
2.afya usiseme mimi nipo huko najua(na mgomo mkubwa ulitokea wakate wake-ila bongolala ccm watakuwa wamesahau)
3.wizi na rushwa usiseme
4.katiba mpya kaikanyaga kanyaga( kazi kubwa ya warioba kaharibu ndani ya hotuba ya nusu saa-pole pole hakumbuki ati.?!)
5.wakulima sijui hata kama wapo tena
6. Uwajibikaji ofice za serekali zero
So umesema kikwete kampa somo lowasa somo gani hasa, labda mamna ya kuwa failure president