Umeonyesha upendo kuwatembelea wakati wa msiba. inawezekana huyo marehemu kafa kwa njaa au kwa magonjwa yanayotibika. Unaonaje ungewatembelea kabla??unafiki ni dhambi mbaya sana
Angalia hali za watu zilivyo na mazingira wanayoishi
Mr Rocky
Kinachosikitisha zaidi, huko ndo kwake haswaaa,, nashangaa hiyo picha ya tatu yaani wenyewe wakitaka kuingia ndani wanavua viatu, ndo kwanza yeye yeye na Rain Boots,,,duh Rais tunaye
Wewe unataka tumshangae kwani mdori?Sasa hivi hatumshangai tena, kwani tumeshamzoea...
Hakuna unachojua kwani ulikuwepo jk mtu wa watu mtaumwa sana kwa wenu huu upekepeke jk anaendelea na kazi zake tu.Mr Rocky
Kinachosikitisha zaidi, huko ndo kwake haswaaa,, nashangaa hiyo picha ya tatu yaani wenyewe wakitaka kuingia ndani wanavua viatu, ndo kwanza yeye yeye na Rain Boots,,,duh Rais tunaye
Wewe unataka tumshangae kwani mdori?
Ila yeye kavaa gum boot ili asije chafua viatu vyake vya kutoka Italy.Unajisikiaje wewe ungekuwa Rais, na wananchi wako wanaishi maisha duni kiasi hiki katika nchi ambayo ina kila kitu!
Na wewe usinizoee nimekuona tangu jana kumbuka mapenzi hayalazimishwi sikufamu tena watu wenye jaziba kama wewe huwa nawapenda sana ukizidiwa pasuka.Wewe K STOP ku quote post zangu.... I dont interact with soft minded people...