Rais Kikwete ajiondoa Twitter

Anajiandaa kurudi kufundisha baada ya kumaliza urais. ..hataki stress
 

Kwan alipojiunga ulimshauri wewe. tupunguze kuhoji hata vitu vya kipuuzi.
 
Ushauri mbaya kapewa na nani? Mnafiki tu watu wanamuuliza maswali hana majibu sasa kaamua kukimbia. Wanafiki ndivo walivyo siku zote hutaka kujiweka mbali na watu wao.

Atakuwa amepewa ushauri mbaya;
Laiti angelijuwa kuwa kupitia hapo angefahamu mengi yanayomzunguka.
 
Ni mwanzo wa kuanza kujificha kutokana na kuboronga kwingi. Hivi ana kipi cha kuliachia taifa?
 
Twitter si mawasiliano rasmi na rais japo kwa wakati huu ni njia nzuri na rahisi ya kuwasiliana.
Kukosekana kwake si kuzuri. Si lazima ajibu, asome
 
Atakuwa amepewa ushauri mbaya;
Laiti angelijuwa kuwa kupitia hapo angefahamu mengi yanayomzunguka.

unafikiri kuna kitu ambacho hajui? ninaweza nikawa ndio mimi rais wako natumia jina la money stunna
 
Hurrah Kikwete.Sijui kwa nini tumekuwa so brainwashed kiasi cha kutokujua jema na baya.It's naive kudhani kwamba kuwa digital ndiyo kuwa wa kisasa.After all what does it mean kuwa wa kisasa.Kama wewe ni wa kisasa au sio si wanadamu ndio wanao amua.Leo watasema lile kesho watasema lingine.I do not want to be judged by humans,kwa kuwa kila wazo wanalowaza ni ovu tu.I want to be judged by the God of Jacob,not by humans.Kwanza Social media zote belong to the Devil.Najua utabisha because you have been brainwashed and you don't want to know the truth.Nakupa pole.
 
Kulikuwa na campaign ya "BRING BACK OUR MONEY" ambayo alikuwa anapigwa live kule.
 
Hayajamkuta ya huyu bwana ingawaje personal deactivation inawezekana?
[video=youtube_share;sIXVTX9pMKo]http://youtu.be/sIXVTX9pMKo[/video]
 

And you still using the same technology you claim to belong to the devil,what an i.d.i.o.t!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…