Issue ni kwamba JK hana uwezo wa kuwafukuza hao wote, hawafukuziki. Hapo anayefukuzika ni Meghji tu, hao wengine ni visiki, na visiki having'olewi kwa jembe.
Lakini wewe mwanatanu unashangaza sana kuwaita hao watu wazembe, hii sio Tanu ni CCM mtandao, na hao jamaa sio wazembe hata kidogo, ni watu makini kwenye wanayofanya na ndio maana wamewekwa kwenye list ya ufisadi. Hao ni mafisadi sio wazembe kama wewe unavyodhani
...JK sijui ni kipofu au kiziwi jamani..leo nimesikia wale walaji wa bandarini TICTS wanaongezewa lease lo tutafika kweli.I bet Karamagi ana 10% yake....i hope JK ana wale chokoraa wake wana visit hii JF na ku pass kilio chetu walala hoi.
.Naamini Mh JK kama kweli ana advisor wazalendo basi huu ni wakati muafaka wa JK kuwafukuza kazi Karamagi,Mramba,Meghji yaani hawa ni baadhi tu ya mawaziri wazembe.Hizo wizara zimemezwa na mafisadi wanatia kichefuchefu...JK sijui ni kipofu au kiziwi jamani..leo nimesikia wale walaji wa bandarini TICTS wanaongezewa lease lo tutafika kweli.I bet Karamagi ana 10% yake....i hope JK ana wale chokoraa wake wana visit hii JF na ku pass kilio chetu walala hoi
Naamini Mh JK kama kweli ana advisor wazalendo basi huu ni wakati muafaka wa JK kuwafukuza kazi Karamagi,Mramba,Meghji yaani hawa ni baadhi tu ya mawaziri wazembe.Hizo wizara zimemezwa na mafisadi wanatia kichefuchefu...JK sijui ni kipofu au kiziwi jamani..leo nimesikia wale walaji wa bandarini TICTS wanaongezewa lease lo tutafika kweli.I bet Karamagi ana 10% yake....i hope JK ana wale chokoraa wake wana visit hii JF na ku pass kilio chetu walala hoi.
Mimi nadhani imefika wakati tusiwalaumu sana washauri wa JK, Hata kama JK ana washauri ambao ni wazalendo, hakuna chochote kitakachofanyika ikiwa yeye mwenyewe JK sio Mzalendo. Mpaka hivi sasa tumeona Kikwete ni mtu wa aina gani, Huyu Rais ni FISADI, JAMBAZI na zaidi ya yote asiyejali maslahi ya nchi yetu.
Mitomingi kitu kiitwacho dhana ndio imetufanya dhalili sana sie watu wa bara la Afrika..where is your sense of patriotism? wananchi wanakereketwa na wanatoa hoja nzito we unakuja na nosense comments....c'mon wake up leta hoja na hopeful one day things will change for better