mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 854
- 127
Naamini Mh JK kama kweli ana advisor wazalendo basi huu ni wakati muafaka wa JK kuwafukuza kazi Karamagi,Mramba,Meghji yaani hawa ni baadhi tu ya mawaziri wazembe.Hizo wizara zimemezwa na mafisadi wanatia kichefuchefu...JK sijui ni kipofu au kiziwi jamani..leo nimesikia wale walaji wa bandarini TICTS wanaongezewa lease lo tutafika kweli.I bet Karamagi ana 10% yake....i hope JK ana wale chokoraa wake wana visit hii JF na ku pass kilio chetu walala hoi.