BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Feb 22, 2011 #1 raha na umuhimu wa katiba mpya imejidhihirisha nchini kenya kwani leo rais kibaki ameondoa majina ya wateule wake aliyowasilisha bungeni bila ya ridhaa ya waziri mkuu!
raha na umuhimu wa katiba mpya imejidhihirisha nchini kenya kwani leo rais kibaki ameondoa majina ya wateule wake aliyowasilisha bungeni bila ya ridhaa ya waziri mkuu!
Babu Lao JF-Expert Member Nov 2, 2010 2,043 179 Feb 22, 2011 #2 Nadhani kuna baadhi ya mambo mazuri inabidi tu-copy and paste kutoka katiba ya kenya, no moja wapo ni kama hili... kupunguza nguvu za raisi!!!
Nadhani kuna baadhi ya mambo mazuri inabidi tu-copy and paste kutoka katiba ya kenya, no moja wapo ni kama hili... kupunguza nguvu za raisi!!!
Mallaba JF-Expert Member Jan 30, 2008 2,554 47 Feb 22, 2011 #3 yes, hapo sasa mambo ndio yameiva kwa wenzetu