Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kuna jambo nimeliwaza weeee nimetoka patupu.Hivi,Rais kukataa kuonana na viongozi wa dini na wa vyama vya upinzani ni dharau au kazi nyingi?
Nilipo jijibu yawezekana kazi nyingi.Likaja swali jingine,Mbona anapata muda wa kuonana na Nay wa mitego?
Mbona anapata muda wa kuangalia shilawadu?
Kipi muhimu,Kuonana na viongozi wa dini na wa siasa na kujadili hatima ya taifa au Nay wa mitego?
Kweli WAPO!