Rais Kagame unafikiri amani ya Rwanda ni wewe?

Rais Kagame unafikiri amani ya Rwanda ni wewe?

Magerezani wamejaa wahutu.
ni kwa sababu %kubwa ya wafungwa Rwanda ni wale wa mauwaji wa 94! INTERAHAMWE karibu ya wote walikuwa n i extremist Hutus wakishilikiana na watu wenye akili ndogo kama za kina GENTAMYCINE a.k.a ROBERT KAJUGA! btw, when you come back here, don't be suprised if the number increased... those who know the results of impunity are sending many of them to be tried here in Rwanda... hopefully UK is going to give us three more... you see?

CWb083JUEAUxQDT.jpg:large
 
Kura hii ni matumizi mabaya ya pesa za wanyarwanda na kuwapotezea muda, Hii kura ilipaswa iwe ni kura ya kumchagua Raisi mpya!, Siyo referendum.kwa ajili ya mtu mmoja tu
 
i will assume hujawai wackia kina victoria ingabire, patric karegeya, waanzilish wa green party, umuvugiz etc how about floating bodies in rivers!!!
it doesn't add up man! do they float also in foreign countries where they voted 100% in favor of YES?
 
Only 15% ya wanyarwanda ambao ni watutsi ndio wanamtaka kuna 85% wahutu hawataki hata kusikia ujinga wa Kagame sema vyombo vya dola vipo standby kukandamiza sauti mbadala.
sasa na huko nchi za nje tulitumia vyombo vya dola zenu kusudi muwalazimishe wanyarwanda wamchague kwa 100%? basi nyie hatari! kwani huku na dola yetu yote tumeshindwa kuwalazimisha tufunike 100%... najuwa kwa vyovyote vile extremist kama jMali atakuwa hajapiga kura lakini husitake kuniambia eti wanyarwanda waliopiga kura huko nchi za nje wote ni watutsi...
 
Hivi, leo kagame afe( simuombei) ghafla hii sheria itakuwa reviewed au la! Maana ni mbayaaaaa kutunga sheria sbb ya mtu na si wananchi! Wanyarwanda!!!
 
Watutsi wamesahau sababu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe wamesahau kabisa kuwa makosa waliyafanya Wahutu ndio anayoenda yafanya Kagame. Ndio maana nathubutu kusema wa afrika tuna laana na kama sio laana tumelogwa. Sii kweli Kagame ni very smart kuliko watu wengine sii kweli, hata Ghadafi alifanya hvyo ktk utawala wake aliwany?nga watu, kupoteza watu nakuajiri usalama wataifa kila kona. Ila watu walipofika mahali wakasema tumechoka. Walimng'oa kwa nguvu zote. Namwisho kifo cha aibu. Hakuna jipya analolifanya Kagame, inatambulika kabisa anafanya matendo yale yale alio yafanya Ghadaf kwa watu wake. Kila anaye nyoosha kidole kwa kagame popote alipo lazma afe na hilo sio siri. CIA Wametoa report, M16 ya Uk nayo imetoa maovu ya huyu Bwana. Sitaki kuamin eti kwa kumpa Muda wakutawala maisha Kagame ataleta aman kwa makabila yote makubwa Rwanda. Makosa walio yafanya watanguliz wake. Rwanda haipo salama.
 
Kura hii ni matumizi mabaya ya pesa za wanyarwanda na kuwapotezea muda, Hii kura ilipaswa iwe ni kura ya kumchagua Raisi mpya!, Siyo referendum.kwa ajili ya mtu mmoja tu
Duh,hawa ni watz wakionesha rangi zao za ukweli,umbeeea ndo mliobarikiwa nao.Sasa uchaguzi utafanyajwe wakati 2017 ndo mwaka wa uchaguzi?Pesa zilizotumika si za watz,tena kura yenyewe ya maoni wameifanya kwa ustadi wa ajabu.Yaani ilipofika saa mbili ya asubuhi,asilimia sitini ya watu wote walikuwa wamepiga kura,sitini,jameni!Kura yenyewe shughli zikaisha saa tisa!
Saa tisa kila mtu ameshapiga kura!Waafrika tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wanyarwanda yaani wengine wetu tunafanya shughli ya kupiga kura ni kama tunaombwa saa moja ya usiku wengine wanasema walikatazwa kupiga kura!Pia kumbuka asilimia 98.3 walipigia kura NDIO.Acheni umbea watz acheni wanyarwanda wauchague mkondo wanaotaka maisha yao yaelekee,kwa amani!
 
Kura hii ni matumizi mabaya ya pesa za wanyarwanda na kuwapotezea muda, Hii kura ilipaswa iwe ni kura ya kumchagua Raisi mpya!, Siyo referendum.kwa ajili ya mtu mmoja tu
for us was about to show the world that we are different and we do it different... against all odds we emerge from the horror of the Genocide... 21 years down the road... resilience at its best! lol... ask #WhatMagufuliWouldDo I think he would have said... unajua bwana... eeh... Rwandans have spoken! let us allocate the cash for the general election to fund the Victims of the Genocide and make their life even more better... we as Rwandans and the rest of the world owe them a lot... cc: jMali
 
mchambawima1,congrats to you and all the Rwandan people.As a Kenyan we know the horrors of tribal frictions but you guys have seen it all!And you have truly risen above it in a remarkable fashion that only Rwandans could.Kenyans can learn alot from your people.Congrats again,Rwandans are much loved in Kenya,my brother!
 
Thanks a lot my Kenyan brother, peace and love to you all! here we love Kenyans...
 
Watutsi wamesahau sababu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe wamesahau kabisa kuwa makosa waliyafanya Wahutu ndio anayoenda yafanya Kagame. Ndio maana nathubutu kusema wa afrika tuna laana na kama sio laana tumelogwa. Sii kweli Kagame ni very smart kuliko watu wengine sii kweli, hata Ghadafi alifanya hvyo ktk utawala wake aliwany?nga watu, kupoteza watu nakuajiri usalama wataifa kila kona. Ila watu walipofika mahali wakasema tumechoka. Walimng'oa kwa nguvu zote. Namwisho kifo cha aibu. Hakuna jipya analolifanya Kagame, inatambulika kabisa anafanya matendo yale yale alio yafanya Ghadaf kwa watu wake. Kila anaye nyoosha kidole kwa kagame popote alipo lazma afe na hilo sio siri. CIA Wametoa report, M16 ya Uk nayo imetoa maovu ya huyu Bwana. Sitaki kuamin eti kwa kumpa Muda wakutawala maisha Kagame ataleta aman kwa makabila yote makubwa Rwanda. Makosa walio yafanya watanguliz wake. Rwanda haipo salama.
Ahaha sasa hivi Libya bila Gaddafi ikoje sasa?nafikiri nalo ni somo kwani mpaka leo Libya haina amani ni matatizo matupu.
 
Back
Top Bottom