Rais Kagame unafikiri amani ya Rwanda ni wewe?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,275
Reaction score
14,315
Nimesikitika sana kusikia eti Kagame bado anataka kuwa Rais wa Rwanda kwa miongo mingine kadha.

Jamani hivi wa afrika tumelogwa au tumelaaniwa? Kweli Kagame anataka kuwa Rais wa Rwanda? Ewoo! Ina maana Rwanda haina watu wenye sifa yakuwa Rais?

Kwanini tunajisahau kias hiki nakutaka kuwa bara lamijitu inataka kuwa miungu watu? Hv kuna mtu watu wake wangependa aendele kuwa rais kama Obama? Mbona anaondoka whitehouse kiroho safi.

Afrika haiwez kuendelea kwa namna hii viongozi wanao dhani wana sifa za kutawala peke yao na sio mwingine ni viongoz wenye udikteta ndan yao na mwisho wao sio mzuri.

Mugabe, Museveni, Kagame, Nkuruzinza, Kabila niwakuwaondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, maana wanaharibu jumia kwa kuleta malumbano ndan ya nchi zao wenyewe.

Wanyarwanda watafakari makosa wanayoyatenda kwa kumwambia Kagame No!

Kaa ushauri vijana ila yeye apumzike.
 
Politics is difficult than physics.Albert Einstein
 
Nimesikitika sana kusikia eti Kagame bado anataka kuwa Rais wa Rwanda kwa miongo mingine kadha. Jamani hivi wa afrika tumelogwa au tumelaaniwa? Kweli Kagame anataka kuwa Rais wa Rwanda? Ewoo! Ina maana Rwanda haina watu wenye sifa yakuwa Rais? Kwanini tunajisahau kias hiki nakutaka kuwa bara lamijitu inataka kuwa miungu watu? Hv kuna mtu watu wake wangependa aendele kuwa rais kama Obama? Mbona anaondoka whitehouse kiroho safi. Afrika haiwez kuendelea kwa namna hii viongoz wanao dhani wana sifa za kutawala peke yao na sio mwingine ni viongoz wenye udikteta ndan yao na mwisho wao sio mzuri. Mugabe, Mseven, Kagame, Nkuruzinza, Kabila niwakuwaondoa ktk jumuiya ya afrika mashariki, maana wanaharibu jumia kwa kuleta malumbano ndan ya nchi zao wenyewe. Wanyarwanda watafakari makosa wanayatenda kwakumwambia Kagame No! Kaa ushauri vijana ila yeye apumzike.
Si kwamba yeye anataka bali ni wanyarwanda wanataka,please mjaribu kulielewa hilo,kingine wanyarwanda ndio wanajiamulia kinacho wafaa sio kinacho wafaa sio kinacho wafaa wazungu au vibaraka wao.
 
Acheni wanyarwanda wa practice democras kwa kujiamlia mambo yao wenyewe bila kutaka kufurahisha watu wengine wasio wanyarwanda.
 
Then wakija kuwa na unrest watakimbilia kwenu kama ilivyo desturi. Ni upumbavu sana kuamini kuwa yeye Kagame ndiye mtu pekee mwenye uwezo kuiongoza Rwanda.
Hatufuati umagharibi, bali sheria tulizojiwekea wenyewe. Nimesikia alivyohojiwa, eti "sio mimi ninayehitaji kuwa raisi, waulize wanyarwanda wao ndio wameamua", stupid comment!!
 
Kwani hilo jambo si linapigiwa kura kidemokrasia na wanyarwanda wengi wanaunga mkono swala hilo..

Nina rafiki wengi Kigali na wote niliongea nao na wanaonyesha wanataka jamaa aendelee kushika nchi
 
Nimesikitika sana kusikia eti Kagame bado anataka kuwa Rais wa Rwanda kwa miongo mingine kadha. Jamani hivi wa afrika tumelogwa au tumelaaniwa? Kweli Kagame anataka kuwa Rais wa Rwanda? Ewoo! Ina maana Rwanda haina watu wenye sifa yakuwa Rais? Kwanini tunajisahau kias hiki nakutaka kuwa bara lamijitu inataka kuwa miungu watu? Hv kuna mtu watu wake wangependa aendele kuwa rais kama Obama? Mbona anaondoka whitehouse kiroho safi. Afrika haiwez kuendelea kwa namna hii viongoz wanao dhani wana sifa za kutawala peke yao na sio mwingine ni viongoz wenye udikteta ndan yao na mwisho wao sio mzuri. Mugabe, Mseven, Kagame, Nkuruzinza, Kabila niwakuwaondoa ktk jumuiya ya afrika mashariki, maana wanaharibu jumia kwa kuleta malumbano ndan ya nchi zao wenyewe. Wanyarwanda watafakari makosa wanayatenda kwakumwambia Kagame No! Kaa ushauri vijana ila yeye apumzike.

Mbona Nyerere alikaa muda mrefu. Licha ya nyerere, mbona miaka hamsini na imekua ya chama kimoja hapa bongo hulalamiki. Kama analeta maendeleo kwa nchi yake, wengine wanini. Wanachi tuna taka mabadiliko tukiona hakuna lamaana watawala waliopo wanalifanya.
Rwanda demokrasia ipo sana na maendeleo ya nchi yameonekana. Tanzania demokrasia magumashi kwa wingi, maendeleo kiduchu. Najua utasema nchi yao ndogo na yetu ni kubwa, wote huo niukwepaji ukweli. Sawa sisi yetu nikubwa na ina raslimali kibao, ya wao ni ndogo haina kitu ila maendeleo kwa kwenda mbele.
Waache ni nchi yao wameamua wenyewe kuliko haya ya Burundi. Angalau Kagame katumia sanduku la kura kuliko mtutu na mapanga kama Burundi. Sasa nakushanga unasikitika na Rwanda, sikitikia nchi yako ya Tanzania.
 
Ya Rwanda Wewe Yanakuhusu Nini? au Mnatuonea WIVU Aina Yetu Ya UONGOZI ULIOTUKUKA Chini Ya UTAWALA Wa MTUTSI ALIYETUKUKA Rais Wetu KIPENZI Mheshimiwa Paul Kagame. Tena Wanyarwanda Wenyewe Sasa Tuna Mpango Wa Kumfanya Kagame ATAWALE MILELE. Mnatuonea Mno GERE Sisi WATUTSI Kwanini? Hizi AKILI Zetu Jamani Na Huu UPEO Wetu HATUKULAZIMISHA Kutoka Kwa Mwenyezi Mungu ATUPE Bali Kuna Kitu Cha NADRA Sana Yawezekana MAULANA Alikiona Kwetu Hivyo Ikabidi ATUBARIKI. Sasa Tunataka Kuweka Mbegu Zetu Tanzania, Kenya Na Burundi Kwani Uganda Na DRC Tayari Tuna MASALIA Yetu Na Ndani Ya Miaka 20 Ijayo East Africa Yote Itakuwa Chini Ya TUTSI EMPIRE Na Tutawafundisheni Jinsi Ya KUTAWALA Na KULETA MAENDELEO Kwa Nchi Zenu. Mtutsi Hana Tofauti Na MALAIKA Wa Mungu. I am Proud To Be A Tutsi.
 
Yaani wewe Pimbi kila comment yako lazima Uingizie ukabila.
Eti ""Mtutsi hana tofauti na Malaika""shetani Mkubwa wewe

Nani anae waonea Gere na kinchi chenu kama uwanja wa Mpira,nchi ndogo Nyodo nyiiingi.
 
Mbona Nyerere alikaa muda mrefu. Licha ya nyerere, mbona miaka hamsini na imekua ya chama kimoja hapa bongo hulalamiki. Kama analeta maendeleo kwa nchi yake, wengine wanini. Wanachi tuna taka mabadiliko tukiona hakuna lamaana watawala waliopo wanalifanya.
Rwanda demokrasia ipo sana na maendeleo ya nchi yameonekana. Tanzania demokrasia magumashi kwa wingi, maendeleo kiduchu. Najua utasema nchi yao ndogo na yetu ni kubwa, wote huo niukwepaji ukweli. Sawa sisi yetu nikubwa na ina raslimali kibao, ya wao ni ndogo haina kitu ila maendeleo kwa kwenda mbele.
Waache ni nchi yao wameamua wenyewe kuliko haya ya Burundi. Angalau Kagame katumia sanduku la kura kuliko mtutu na mapanga kama Burundi. Sasa nakushanga unasikitika na Rwanda, sikitikia nchi yako ya Tanzania.

Ukweli mtupu Mkuu.
tulitakiwa tumalize kwanza ya ZNZ kabla ya kushobokea ya wenzetu.
 
Si kwamba yeye anataka bali ni wanyarwanda wanataka,please mjaribu kulielewa hilo,kingine wanyarwanda ndio wanajiamulia kinacho wafaa sio kinacho wafaa sio kinacho wafaa wazungu au vibaraka wao.

Wrong.... Kagame hawezi ishi milele hivyo basi hawezi tawala milele. Kinachotakiwa ni kutengeneza mifumo imala. Mifumo ya utawala itakayo dhitibi ufisadi, dhuruma, itajayo wajibka kwa wananchi.
Kagame asicheze one man show. Hana life insurance
 
Mbona Nyerere alikaa muda mrefu. Licha ya nyerere, mbona miaka hamsini na imekua ya chama kimoja hapa bongo hulalamiki. Kama analeta maendeleo kwa nchi yake, wengine wanini. Wanachi tuna taka mabadiliko tukiona hakuna lamaana watawala waliopo wanalifanya.
Rwanda demokrasia ipo sana na maendeleo ya nchi yameonekana. Tanzania demokrasia magumashi kwa wingi, maendeleo kiduchu. Najua utasema nchi yao ndogo na yetu ni kubwa, wote huo niukwepaji ukweli. Sawa sisi yetu nikubwa na ina raslimali kibao, ya wao ni ndogo haina kitu ila maendeleo kwa kwenda mbele.
Waache ni nchi yao wameamua wenyewe kuliko haya ya Burundi. Angalau Kagame katumia sanduku la kura kuliko mtutu na mapanga kama Burundi. Sasa nakushanga unasikitika na Rwanda, sikitikia nchi yako ya Tanzania.

i will assume hujawai wackia kina victoria ingabire, patric karegeya, waanzilish wa green party, umuvugiz etc how about floating bodies in rivers!!!
 
Only 15% ya wanyarwanda ambao ni watutsi ndio wanamtaka kuna 85% wahutu hawataki hata kusikia ujinga wa Kagame sema vyombo vya dola vipo standby kukandamiza sauti mbadala.

Si kwamba yeye anataka bali ni wanyarwanda wanataka,please mjaribu kulielewa hilo,kingine wanyarwanda ndio wanajiamulia kinacho wafaa sio kinacho wafaa sio kinacho wafaa wazungu au vibaraka wao.
 
Then wakija kuwa na unrest watakimbilia kwenu kama ilivyo desturi. Ni upumbavu sana kuamini kuwa yeye Kagame ndiye mtu pekee mwenye uwezo kuiongoza Rwanda.
Hatufuati umagharibi, bali sheria tulizojiwekea wenyewe. Nimesikia alivyohojiwa, eti "sio mimi ninayehitaji kuwa raisi, waulize wanyarwanda wao ndio wameamua", stupid comment!!
Sasa Acha nijaribu kuweka mawazo yangu kuhusu jambo hili,mimi nchi naona kama kampuni na kampuni ambayo ni profit making,na wananchi ni shareholders,na hao wananchi kila mwisho wa mwaka kunakitu wana pewa,sasa kama shareholders wanaona CEO anafanya vizuri na kampuni yao ina make profit kama walivyo panga na kufanya vizuri zaidi ya mategemeo yao,je itakua busara kumuondoa huyo CEO?kwasababu kitu wanachohitaji wananchi ni maendeleo na kama wanaridhika na anayowatimizia kwanini wasimuongezee muhura?nafikiri tumefika wakati wa kufikiria hivyo sio kila wakati kubadilisha CEO wa kampuni kwa kigezo cha muda bali tuangalie malengo tulio jiwekea kama yametimizwa au bado.
 
Only 15% ya wanyarwanda ambao ni watutsi ndio wanamtaka kuna 85% wahutu hawataki hata kusikia ujinga wa Kagame sema vyombo vya dola vipo standby kukandamiza sauti mbadala.
Hilo ndio tatizo la watu wenye itikadi ya ubaguzi wa kikabila hayo maendeleo tu nasema yanawafikia wote bila kujali tabaka,rwanda ya sasahivi si ile ya zamani hivi kila mnyarwanda a nafaidi matunda ya nchi.
 
Magerezani wamejaa wahutu.

Hahaha magerezani Pamejaa wahalifu sio wahutu,na muhalifu haijalishi ni kabila gani,tuseme kama hapo katika mage reka ya tanzania ukifanya utafiti utakuta kuna kabila ambalo lina idadi ya juu ya wahalifu na hiyo haimaamishI kwamba hili kabila linabaguliwa.
 
Back
Top Bottom