Rais Kagame amekerwa na Arsenal kushindwa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,695
29,030
Mzuka wanajamvi!

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekerwa na kuhuzunishwa kwa Arsenal kufungwa 2-0 na vibonde Brentford waliopanda daraja EPL.
Screenshot_20210814_131246_com.android.gallery3d.jpg


Kagame alisema kama mshabiki mkubwa wa Arsenal amehuzunishwa na kukerwa na matokeo hayo. Nakuomba mabadilikoyawepo haraka sana.

Ikumbukwe Rwanda inailipa Asernal hela nyingi kuitangaza kwenye jersey yao.

Mwakajana tulimbeza sana mwanajamvi mwenzetu Erythrocyte nakumshambulia alipoleta uzi Arteta siyo kocha mzur.

Castr Chaliifrancisco
Screenshot_20210813_055540.jpg
 
Mkaldayo mwambie Kagame hela hiyo bora angetupa Liverpool tungeitangaza Rwanda vizuri. Tatizo lake anakuwa kama amateur anawekeza kishabiki.
 
Back
Top Bottom