Rais Kabila wa Kongo huyooooo

Hiyo barabara ni hatari,nchi kubwa imekatika vipandevipande,wachache wananufaika na utajiri wa nchi,Rais kijana nae anataka aendelee kutawala...Africa vioja kweli....
 
hii ndio nchi ilijisahau, ina utajiri wa ajabu lakini maendeleo ndio yalipiga chenga ukitika nje ya Kinshasa
 
Siku zote wazungu wanageuza rasilimali zetu kitanzi cha kutunyongea. Mfano kila wazawa wanapogundua madini ya thamani sehemu,ndipo sehemu hiyo inapogeuka jehanamu! Wawekezaji:thumbdown::thumbdown:
 
Hiyo barabara ni hatari,nchi kubwa imekatika vipandevipande,wachache wananufaika na utajiri wa nchi,Rais kijana nae anataka aendelee kutawala...Africa vioja kweli....

hii ndio nchi ilijisahau, ina utajiri wa ajabu lakini maendeleo ndio yalipiga chenga ukitika nje ya Kinshasa

Mabepari ndio wana engineer vita popote pale ulimwenguni ambapo wanajua pana utajiri na malighafi! Hata ishu ya Kabila kutaka kubakia madarakani kuna mkono wa hawa mbweha wa ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…