Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.
Inawezekana unamawazo mazuri lakini hiyo paragraph ya mwisho bure kabisa, wewe ni nani hata uwaambie watanzania wasiokubaliana na mh. Wahame nchi?? Waende wapi?? Kukosoa na kuhoji ndo kunaleta kitu kimoja chanya mi nafikiri kama wewe hupendi kukosolewa ndo uhame nchi au tengeneza dunia yako isiyo na utamaduni wa kukosoa.

Hata mh. Magufuli anajua utamaduni huo ndo maana alipita kuomba kura maana alijua wapo wasiokubaliana naye so lazima awashawishi.
 
Magufuli hawezi kumwambiya maneno hayo Kikwete hana ubavu huo Lugumi tu imemtoa jasho hadi ajiadhili kwa kumuongopea na kudokta picha ya Kitwanga ili apoozeshe zari
 
Rais mwenyewe hewa hamna cha maana alichokifanya cha maana toka aingie ambacho mwananchi kama mimi naweza jivunia..we wananchi walikuchagua uje kupiga mayowe,kulalamika au kutumbua majipu..
 
teh teh teh.

Uzuri wa Kikwete hakuumbwa na aibu, hata umpige madongo hadharani anaishia kucheka cheka tu, kesho yake akimwalika hata kwenye kamsiba ka mtoto wa balozi wa nyumba kumi anatia timu tena kwa mbwembwe zote.

Huyo ndio JK mswahili pure......

Sasa ulitaka alie? Nilikuwa sijaelewa kuwa watu wa bara kumbe Ni wa kulialia tu kama yule mjamaa.
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.

JPM hawez kulitoa taifa hapa lilipo kwani amekuwa mtu wa kulalamika tu , kuyajua matatizo ni jambo moja kuyatatua ni jambo jingine... JPM ndyo anatuzamisha kabisa bora hata Jk wananchi tulikuwa na maisha mazr kulko sasa umasikini umeongezeka
 
ETI BARABARA HEWA! DU AIBU SANA HII,NAONA ANATAKA URAIS TENA KWA HURUMA YA WANANCHI LKN MIKAKATI YAKE NAONA IKIKWAMA SANA NA HATA KWENYE KAMPENI ATAKUWA AKILALAMIKA TU.
 
teh teh teh.

Uzuri wa Kikwete hakuumbwa na aibu, hata umpige madongo hadharani anaishia kucheka cheka tu, kesho yake akimwalika hata kwenye kamsiba ka mtoto wa balozi wa nyumba kumi anatia timu tena kwa mbwembwe zote.

Huyo ndio JK mswahili pure......
Anacheka lakini moyoni anaumia.
 
Kuendelea kumjadili kikwete mh.rais utaonekana kazi imeanza kukushinda.nakushauri uwe na uvumilivu wa kisiasa wa kupambana na masuala katika uendeshaji wa nchi huo ndio uanaume.otherwise mkuu utageuka kituko.una sema barabara hewa ilihali wewe ndie ulikuwa waziri wa barabara?
 
Nadhani tumepata rais mbovu kuliko wote tangu nchi hii iumbwe. Aliposema hatosoma hotuba yake na badala yake atapiga hivo hivo niliwaambia niliokaa nao subirini vituko
Rais mbovu amekuwa Magufuli tena na sio Kikwete? Duh TZ kwa unafiq siwawezi.
 
Hii ndio BONGO LAND tumia bongo na sio ujuzi na maarifa ndio maana kila mahali ni hewa hata wakati wa nyerere neno hewa lilikuwepo , mazao yalinunuliwa hewa katika vyama vya ushirika na hata maghala ya pamba huko kanda ya ziwa yalikutwa hewa hakuna cha pamba ilionunuliwa kwa maana hiyo Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote hao wamerithishwa kutoka kwa Nyerere DILI la HEWA tusimsingizie Kikwete hata kidogo HEWA ni msamiati ulioanza kutumika miaka ya utawala wa Nyerere na sasa imezaa mpaka vilembwe HEWA
 
teh teh teh.

Uzuri wa Kikwete hakuumbwa na aibu, hata umpige madongo hadharani anaishia kucheka cheka tu, kesho yake akimwalika hata kwenye kamsiba ka mtoto wa balozi wa nyumba kumi anatia timu tena kwa mbwembwe zote.

Huyo ndio JK mswahili pure......
Wewe utakuwa mtoto wa zinaa ndo maana huna adabu, Jpm hakuwa na maana hiyo mnayotaka kuzusha hapa, jpm anaamini amepewa urais na jk, thus y anasema amempa kazi nzito, si mara moja si mara mbili husema hivyo
 
Hivi nyie wasanii hamuwezi kuzungumzia jambo lolote lazima mchomekee bunge live?
Inaoneka bunge kutoonekana live limawapunguzia sana uwezo wenu wa kujifanya mna uchungu na nchii kumbe ni mafisadi tu

We kweli kichwa Nazi kinavuja uteute sa huyo unaemuona ana uchungu na Nchi hi anafanya nini cha maana ambacho utasema Tz inapiga hatua zaidi ya kupiga mayowe ka ameshikwa sehemu mbaya
 
Rais anatakiwa aje na majibu ya alichokifanya na kuleta majibu chanya, sio kulalamika kwa wananchi!!!! watu wanapanga foleni ya sukari, vitu bei zimepanda, tambi ilikua sh1,150 sasa 1,500. Aje na majibu sio kulalamika.
Du... Sa iv nmetoka kununua viaz, kilo sh 1500, wakat last week ilikua buku

Waliimba tutaisoma, naona ndo tumeanza!
 
Back
Top Bottom