Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini Wadau,
Naanza kwa kumpongeza Rais kwa moyo wake wa ujasiri wa kujitahidi kuishape nchi kwa kiasi kikubwa akitumia muda mfupi na kuwawajibisha wafanyakazi.
Pili, natoa ombi kwako Mh. Rais wa kudeal na hawa jamaa wa Asia (WAHINDI).
Katika wahujumu uchumi wakubwa hapa Tanzania ni jamii ya hawa watu. Nitaelezea ni kwa vipi wanahujumu uchumi na kutaja majina ya baadhi yao:-
1) KWA KUKWEPA KODI: Hawa jamaa ndio wanaomiliki viwanda vingi vidogo hapa nchini,ila kwa miaka mingi wamekuwa wakijiweka karibu na Chama tawala na kuhonga pesa kwa baadhi ya viongozi wabaya na hata kutoa support katika kampeni za chama. Hayo yote yamekuwa yakifanyika ili kuwapa wao assuarance ya kutolipa kodi. Mfano mzuri ni Fazzal wa Leopard Tours.
Kuna mada ilishaletwa hapa jamvini kumhusu mtu huyu kukwepa kodi kila mara na zaidi ni mtu mwenye dharau sana na matusi ya nguoni kwa watu weusi hususan watanzania. Alishawahi kusema kuwa anafanya kazi na "Manyani" na hawezi kukaguliwa na Auditors manyani. Pia alishawahi kumkebehi Waziri wa fedha na mipango.
2) WANABLOCK INTERNAL CASHFLOWS: Ukweli ni kwamba wahindi wanachuma na kutengeneza pesa nyingi sana hapa nchini lakini 95% hawaweki wala kutumia hizi local banks zetu. Wao wanadeposit na kufanya transactions zote kwenye benki za nje na hata pesa zao wanazificha nje ya Tanzania. Wale wenye kipato kidogo ndio utawakuta Bank of Baroda au Exim yao.
Sasa hapo si kunakuwa hakuna mzunguko wa pesa ndani ya nchi? Wangekuwa wanatumia benki zetu hata upatikanaji wa mikopo ungekuwa mrahisi zaidi. Mfano wa hawa jamaa ni
- Mohamed Abood na ndugu zake wote
- Rostam Aziz
-Benson and Companies na wengine wengi tu wametajwa katika PANAMA PAPERS as source of trusted informations.
3) WAHINDI NDIO WARUNDIKAJI WAKUBWA WA BIDHAA: Hawa jamaa kwa sehemu flani ndio wanaotoa maamuzi juu ya Processed foods zinazoingia kutoka nje (mostly Nairobi), wanazotengeneza kwenye viwanda vyao na hata wanazoagiza kutoka viwandani (kama sukari) na wanaweza kabisa kutengeneza artificial scarcity na hata demand kwa faida yao...sio kwenye sukari tu.
Pia wanawatumikisha sana watanzania masikini na kuwalipa pesa kiduchu mno.
I understand we are under Capitalism system ila hawa jamaa ni terrible.
*Sasa wana faida zipi kubwa kwetu??
Mi namshauri Mh. JPM awaangalie hawa jamaa kwa jicho la kipekee na kuwachukulia hatua.
Nawasilisha.