Rais John Magufuli tutamlipa nini?

Kuna watanzania zaidi ya 6000 wamepoteza kazi kwenye sekta ya utalii,Na wengi wao wakiwa bado wako kwenye mikataba na hawalipwi,Hayo hayo makampuni na mahoteli mengi yao yamefanya kazi zaidi ya miaka 5 na yameingiza faida kubwa kupitia hao staff na serikali inajua na imekaa kimya kabisa.
 
Dikteta anastahili JELA tu kama Bashiru wa Sudan.

 
Tayari ashachukua 1.5Trillion, au unataka tumlipe nn Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…