Kama ulifikiri kwa hilo jina tu basi ni ndugu yake utakuwa umekosea sana maana kadri nijuavyo jakaya na mrisho yote ni majina yake na baba yake aliitwa halfanRais Dr J. Magufuli amemteua Dr Leonard Maboko kuwa mkurugenzi mtendaji wa TACAIDS kuchukua nafasi ya FATUMA MRISHO mtu anayetajwa kuwa ndugu wa Kikwete kutokana na jina linaloonyesha ubini na rais huyo mstaafu
WATANZANIA MAISHA BORA YATAPATIKANA KWA TENGUA NA TEUA KILA LEO?
Kazi ipo!WATANZANIA MAISHA BORA YATAPATIKANA KWA TENGUA NA TEUA KILA LEO?
Anaeza akawa mrisho mpotoKama ulifikiri kwa hilo jina tu basi ni ndugu yake utakuwa umekosea sana maana kadri nijuavyo jakaya na mrisho yote ni majina yake na baba yake aliitwa halfan
Jamani, si umeambiwa muda wake uliisha? Au kosa la Magufuli ni kutomrudisha bi mkubwa tena?WATANZANIA MAISHA BORA YATAPATIKANA KWA TENGUA NA TEUA KILA LEO?